Umemaliza yote mkuu_kama ana lingine ndio aseme,..kwani nyie msio kunywa hizo pombe mkiambiwa mchangie angalau hata round moja mbona mnatoa macho na kutokomea.Inategemea umeomba wachangie kitu gani na mazingira gani. Huwezi ukaniambia nichangie sherehe ya walokole ambayo naishia kunywa soda mbili na tumbo limeshajaa. Lakini kama ni ishu ya kupiga kinywaji, nipo radhi kuchangia bila kushurutishwa.
Umemaliza yote mkuu_kama ana lingine ndio aseme,..kwani nyie msio kunywa hizo pombe mkiambiwa mchangie angalau hata round moja mbona mnatoa macho na kutokomea.
Situmii..
Ndio uanze kutumia sasa,....Situmii..
Nilikuwa nimekaa jamaa fulani wanapiga kilaji kama kawaida nami nakunywa maji. Kwa kuwa nilialikwa na salio halikuwa la kutosha. Nilimuomba mwenyeji wangu aninunulie msosi kwa kuwa nilikuwa sijala, alinijibu kuwa kama ni pombe angeninunulia lakini sio msosi.
Kuna kitu labda hatutaki kuelewa_kila mtu ana budget na burudani yake,sasa mtu anapokuambia hana hela ya kukusaidia/kufinance budget yako haimaanishi hana hela ya kufinance mambo yake,...hii roho ya kutaka na kuona ni haki kusaidiwa mambo yetu ndio inayotuletea fedheha yote hii,....hivi mm nikikuomba hela ya kununulia kilo ya maharage na ukaniambia sina halafu jion nikakuona unanunua kilo ya nyama ntamaindi?............tafakari na chukua hatuaMbaya ukisema unahitaji kumsomesha mtoto shule au wewe mwenyewe unaomba kuongezewa salio ukasome. Mbaya zaidi akiwepo mgonjwa maeneo ndo utasikia hela hakuna but mtu yuko radhi kukata elfu thelathn jioni kwenye killaji...sorry kileo!
halafu hebu badilisha hiyo heading yako,..sio wote wanaopiga round ni walevi,....Hawa jamaa wanapopiga "round" kwenye vikao vyao huwa hawana hiyana katika kutoa pesa. Tatizo linakuja pale inapohitajika pesa kwa matumizi mengine nje ya kununua pombe wanakuwa wagumu kweli, sijui tatizo ni nini!
Hawa jamaa wanapopiga "round" kwenye vikao vyao huwa hawana hiyana katika kutoa pesa. Tatizo linakuja pale inapohitajika pesa kwa matumizi mengine nje ya kununua pombe wanakuwa wagumu kweli, sijui tatizo ni nini!
Situmii..
Huu uzi ungeletwa mida ya sa 11 jion tuuchangie tukiwa bar', uzi unanletea kiu halaf niko job.