Nataka kwenda Ikulu kuonana na raisi Kikweke

libent

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
382
84
mimi nataka kuonana na mheshimiwa wa magogoni baba riz nipitie njia zipi ambapo nitaonana ne bila vikwazo
 
nami huwa ninawazo kama lako,jamani wanaJF tupe utaratibu mzima!
 
kama ulishindwa kumuona mk.were kipindi kile cha Kampeni.. ambapo wanafanyaga kampeni za kitanda kwa kitanda, sasa hv ni ngumu..list imejaa mpaka october 2015.
 
Labda umtegee wakati anatoka Bagamoyo kufanya mambo yake. Ana ratiba hiyo kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi.
 
kama ulishindwa kumuona mk.were kipindi kile cha Kampeni.. ambapo wanafanyaga kampeni za kitanda kwa kitanda, sasa hv ni ngumu..list imejaa mpaka october 2015.

kweli majbu yako yanakimbiza mchakamchaka kama jina lako!!! Mi nakushauri kama una ghorofa mji wwte we tangaza unauza then utakutanishwa tu na hirizi one,hapo utakuwa ushaingia magogoni!!
 
Mwambie Shekh Yahya kakutokea ndotoni
una ujumbe wake muhimu
hutahutaji hata gate pass
 
Labda umtegee wakati anatoka Bagamoyo kufanya mambo yake. Ana ratiba hiyo kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi.

Mkuu si unajua msafara wake unavyokuwaga na spidi utadhani nyuma anafukuzwa na al-shabab nitamuona vipi hapo
 
magogoni hakuna rais kikweke. Kuna mh rais Kikwete. Ila nenda tu ukifika watakupa utaratibu
 
Back
Top Bottom