JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna mzee mmoja alikuwa anashangaa sana maana kila akiweka whisky yake kwenye fridge akija kuiangalia baadaye anaikuta imepungua,siku moja akiwa pamoja na mkewe akaamua kumuuliza house boy wao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mpemba mmoja alikuwa ana angalia movie ya kimarekani ikawa kila mara alikuwa ana sikia hili neno MOTHERFU,CK kama mara 50 akashindwa kuvumilia ikabidi aulize "jamani nhyu mamaye faki ni maarufu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau,watu wanasema malumbano na ugomvi wa kila siku baina ya wapenzi ni sign ya kutopendana,je ni kweli?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakumbuka enzi zile............... siku chache kabla ya sikukuu kama hizi za Krismas na Mwaka Mpya tulikuwa tukiomba kununuliwa nguo za sikukuu. Endapo mzazi asipokununulia basi sikukuu haina...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa kamati ya mazishi akainuka na kusema, "kinachofuata sasa ndugu wafiwa na marafiki wa marehemu ni kusoma historia fupi ya marehemu tuliyemzika hapa leo, karibu ndugu uliyeandaliwa kwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Konda:posta posta mia tatu twende posta kwa wazungu, Jamaa:konda nisaidie mie nina mia tu! Konda:hiyo mia nunua parachichi upake ma-ta-ko-ni uteleze mpaka posta
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je umejipangaaje? Hapo mwanzo Mungu aliumba ulimwengu na wanyama wake. Kila mnyama alipewa miaka ya kuishi 30. Kati ya wanyama walioumbwa walikuwa Punda, Mbwa na binadamu. Mungu akawauliza wanyama...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari Wadau, Najua mtaponda kwamba me natumia FB,ila kiukweli 99.99% ya member wa JF wana FB acc,swali langu ni configuration gani wana FB wanafanya? Maana uki-update status kwa chini pale...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Hii ndo dawa ya wanaojidai hawaoni vizuri !
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Namgenda sana girl friend wangu but ananinyima raha kwani anaharufu mbaya kinywani. Kumwambia nashndwa atahsinamnyanyapaa. Nikikataa anidende anakasirika.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
CHEKI HIZI STORY WALIZOKUWA WANAPIGA NAPE NA MNYIKA WALIPOKUTANA MSIBANI JUZI "Nape:We dogo hivi kwa nini Hukuniachia jimbo la ubungo?" Mnyika:Kwani mimi? si Mwenyekiti wenu akamweka yule mama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mmasai mmoja alikuwa anasafiri na Mkewe, usafiri ulikuwa wa shida lakini bahati nzuri likaja roli na Mmasai akawaomba wenye gari wantie mbele Mke wake na Yeye wamtie nyuma.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
watoto wawil walikua wanashindana baba yake nan ndio brave. 1. Akaanza unaijua bahar ya pasific baba yangu ndn kalichimba lile shimo! 2.wapil akasema je unaijua dead sea? Baba yangu ndiye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa alikatika mkono mmoja akaona MAISHA yanakua magumu, akapanda ghorofan ajitupe chini kabla hajajitupa akamwona mlemavu hana miköno yote akirukaruka kwa furaha, Akamuuliza "mbona unaruka ruka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Majambazi watatu walivunja bank kisha wakazama ndani na kuanza kufungua sanduku moja baada ya jingine.Walipofungua sanduku la kwanza lilikuwa na makopo yenye vitu kama yoghurt,walipoonja zilikuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakubwa nakumbuka enzi zile wakati bado nipo O&A Level kulikuwa na walimu wa ukweli wa tuition,waliokuwa wanapigisha mapindi ya maana hasa kwa wale tuliosoma shule za serikali,kwa tuliosoma comb...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Zimebaki takribani saa 26 kabla ya vituo vya kupigia kura kufungwa. Ni kwenye Pima- Maji ya http://mjengwablog.com . Anga ya mtandaoni imechafuka kwa vita kali ya kuwania kura...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Du wakubwa kuna hizi barrier zinakera sana unapo drive toka Arusha kwenda Dar or other way round. 1. Daraja la Nduruma yani hawa jamaa wanakera sana ila uzuri wao kama kuna malori yakutosha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Vijana watatu wakiwa porini kwa ajili ya kutafuta kuni,kwa bahati mbaya mmoja wao alijikata kwa panga mguuni na kuumia vibaya sana.Wakaamua kumbeba kwa zamu kurudi naye nyumbani kwa sababu alikuwa...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Wife goes to supermarket, sees man's briefs on sale. She buys a dozen of the same colour. Goes home and gives hubby. Hubby protests, " Why buy me same the colour? People will think I do not...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…