Nape vs mnyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape vs mnyika

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Wa kusoma, Dec 15, 2011.

 1. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  CHEKI HIZI STORY WALIZOKUWA WANAPIGA NAPE NA MNYIKA WALIPOKUTANA MSIBANI JUZI

  "Nape:We dogo hivi kwa nini Hukuniachia jimbo la ubungo?"
  Mnyika:Kwani mimi? si Mwenyekiti wenu akamweka yule mama?

  Nape:Halaf mkanibania kujiunga kwenu....

  Mnyika:Ujiunge ili ugombee ubungo....!kwani mie sitaki ubunge?

  Nape:Anyway....!nikitaka kujiunga CDM inakuwaje??

  Mnyika:Acha tamaa dogo,kwanza we si ulipewa u-DC Masasi? na huku unataka,Katibu mwenezi wewe,gamba wewe,CCJ wewe...! duh ndo maana wenzio wanakuita rafiki wa David Cameroon

  Nape:Naona umeanza kuingia mpaka ndani,utavimba si muda dogo.......

  Mnyika:Fisadi tu weweeeeeeeee......................
   
 2. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Nape:...aisee mnatupeleka peleka.

  JJ:...acheni uoga, mnakuwa kama hamjui siasa bwana!

  Nape:...ila mmetukubali kiana.

  JJ:...¨ªla chai ya ikulu tamuu...

  Nape:...hahahaaa, karibuni tena

  JJ:...ngoja nionge na mwenyekiti tutafute sababu, he! Umehamia VETA?

  Nape:...umenichoka ee...

  [FONT=&quot]Nape: Mnyika unajua CCM wasingefanya uhuni na wakanipitisha kugombea ubunge ningekushinda jimbo la Ubungo?

  Mnyika: Wewe acha hizo, wakati mimi nilikuwa na nguvu ya umma!

  Nape: Mbona vijana wote wa Ubungo nilisha wateka na kuwaahidi maisha bora?

  Mnyika: Vijana wa Ubungo sio kama wa majimbo mengine, hawadanganyiki. [/FONT]
  [FONT=&quot]NAPE. nimejaribu kuwafanya watanzania wanielewe ila sijafanikiwa ndipo nikagundua hizi pamba mnazopiga ndizo wabongo wanazizimia,sasa ngoja nipige kama wewe.
  MNYIKA.kweli? ndivyo akili yako imekuambia?jaribu. [/FONT]
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Mkuu zimetulia
   
 4. b

  beyond heaven Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  leo umejitahidi..
  Graf ya Cognitive development ya ubongo wako imeanza kuraise
   
 5. W

  Wababa Senior Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahahahahahahaha nimecheka xana
   
 6. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wa Kusoma kumbe na wewe unajua kutuchekesha?
  ziko poa.
   
 7. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Nimecheka sana mkuu.
   
Loading...