Wasifu wa marehemu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasifu wa marehemu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by IrDA, Dec 6, 2011.

 1. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60


  Mwenyekiti wa kamati ya mazishi akainuka na kusema, "kinachofuata sasa ndugu wafiwa na marafiki wa marehemu ni kusoma historia fupi ya marehemu tuliyemzika hapa leo, karibu ndugu uliyeandaliwa kwa shughuli hiyo..."


  Msomaji: "Ifuatayo in historia fupi ya marehemu tuliyemlaza ktk nyumba ya milele hapa leo...


  >Marehemu alizaliwa juu ya mti ambapo mzazi wake alijihifadhi baada ya kukimbia mafuriko miaka 26 iliyopita.


  >Hakubahatika kupata kazi ya maana alisoma mpaka darasa la 3 tu ambapo aliamua kuacha shule baada ya kuona elimu haina mpango kwake.


  > Marehemu alikuwa kero kwa familia yake hasa kwa tabia yake chafu ya udokozi, uongo, uvutaji bangi, ubakaji wa mifugo na baadae ushoga.


  > Mimi binafsi mjomba wake nimefurahishwa sana na kifo cha marehemu huyu kwani alishawahi kunipakazia kuwa nimekufa kwa kipindupindu kiasi kwamba ndugu wote wakakusanyika na kunililia msiba huku yeye akikusanya fedha za rambi rambi na kukimbia nazo!!


  > Mtoto alitutia hasara sana kwani alikuwa mwizi wa vitu vya ndani,pesa,ndala na viatu mpaka vya wageni, nguo zozote zikianikwa nje na hata mboga jikoni. Hapa nilipo, mimi na mke wangu hatuna hata nguo za ndani kwani alishaniibia zote..


  >Pia tumepoteza gharama kibao kumtafutia vyuo vya ufundu lakini aliishia kula ada na mwisho wa siku kuwa shoga tangu tarehe 06/04/91 hivyo ana expirience ya miaka 20 ya USHOGA.


  > Marehemu hakuugua bali kifo chake ni cha kujitakia kwani kajiua kwa kunywa sumu ya panya baada ya kukosa nauli ya kwenda Mombasa kuhudhuria onyesho la taarabu na mduara.


  > Kwa niaba ya familia, wazazi na ndugu wa marehemu tunatoa pongezi kwa Mungu kwa kutupunguzia kero na kwa wote wanaomdai marehemu mtatusamehe kwani hatuna uwezo wa kuwalipa kwa sababu tunajua ghalama yake itakuwa kubwa ila msihofu atawalipa mkikutana peponi.


  >Ndugu wote wa marehemu tunamuomba sana Mungu asiilaze roho ya marehemu peponi na wala asimpumzishe kwa amani ila kama kuna mkong'oto huko ampe wa kutosha na kama ni moto awe kuni kabisa kwa shida alizotuletea duniani.. "


  WOTE TUSEME AMEN!!!
   
 2. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  ‎Mvuta Bangi karudi kwake usiku akamkuta mkewe kalala na Chupi yenye kimkanda tu kwa nyuma{BIKINI} Jamaa akaanza kucheka sana mpaka mkewe akaamka akamuulza unacheka nn? Jamaa akamjibu ndo mara yangu ya kwanza kuona matak-o yamevaa kandambili
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Kazi kubwa.
   
 4. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  >>> Marehemu alikuwa mwadilifu pia mchapa kazi. Kwani hakuwa mvivu kama vile vijana wengine mlivyo. Aliipenda familia yake kwa moyo wa dhati wala hakuwa mwasherati.
  {Kumbe waongo watupu}
   
 5. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Haya bana!! mie napita 2.
   
 6. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ipi hiyo ?
   
 7. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  .... Nahisi kaburi lake lilikuwa na urefu wa futi moja na nusu. Na alizikwa na mashoga wenzake,pamoja na mwakilishi mmoja wa
  wanandugu kama shuhuda ili kujua mtu wao kazikwa!
   
 8. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Khaaa !
   
 9. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  duuu! Huyu marehemu cjui aliwafanya nini kibaya nduguze kama ndo hv kha!
   
 10. m

  mbambaguy JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  teh teh teh eh eh hee daah ni nomaaa huo wasifu!
   
 11. L

  Luthar JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  mbavu zangu jaman khaaaa
   
 12. v

  valid statement JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  marehemu wanasifiwaga tu... hata kama hakutenda mema mengi, basi yale mazuri machache ndiyo tunayotakiwa tuyaongee.
   
 13. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alizaliwa bahati mbaya kafa makusudi.
   
 14. O

  Ong'waLugandu Member

  #14
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh! mjomba mtu nomaa!
   
 15. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  weeeeeeeeee watu kama hawa huzikwa zaidi ya futi 6
  futi 1 akifufuka awasumbue
   
 16. m

  malaika2 Member

  #16
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hyo tumeizoea!
   
Loading...