Bila wao wengi tusingefika hapa tulipo leo kielimu

Pure nomaa

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
1,158
1,382
Wakubwa nakumbuka enzi zile wakati bado nipo O&A Level kulikuwa na walimu wa ukweli wa tuition,waliokuwa wanapigisha mapindi ya maana hasa kwa wale tuliosoma shule za serikali,kwa tuliosoma comb za kifo(science):pCM,PCB,CBG na EGM majina haya si mageni kwetu :MUDDY,HIDDEN,MBUGA,MWALAMI,MGOTE,MTIGA,nakumbuka pindi la saa moja ilikuwa sh 100,Je unawakumbuka walimu wako wa tuition?
 
Walimu wa wapi hao? Tunduma?

Halafu huwa nahisi The Boss alisoma twisheni kwa Ndosi.....lol....watoto wa Muhimbili mpo?
 
Mi namkumbuka mwalimu wangu wa shule ya msingi anaitwa Selina,kuna siku nilichelewa
kuingia darasani akaniambia ng'ombe wewe,nikamjibu sili mi sili majani,basi alinipeleka kwenye
ofisi yake,alinikanyaga shingo chini huku anachapa makalio,damn! sintamsahau kwa alichonifanyia
 
Wapi wale wa mchikichini kwenye tuishen ya Hesabu-O level...watu mpaka nje ya darasa kudadadeki. Nilienda mara moja tu,nikaona hapa ni mambo ya ku-scramble yanahusika....nikaingia mitini fastaaaaa!
 
Back
Top Bottom