Hii kaliii

Hii kaliii

Wababa

Senior Member
Joined
Jul 21, 2011
Posts
158
Reaction score
14
Jamaa alikatika mkono mmoja akaona MAISHA yanakua magumu, akapanda ghorofan ajitupe chini kabla hajajitupa akamwona mlemavu hana miköno yote akirukaruka kwa furaha, Akamuuliza "mbona unaruka ruka kwa furaha wakati huna mikono yote? Jamaa akajibu "furaha wapi?? Hapa MKUN****NDU unawasha nashindwa kujikuna"
 
mkuu endelea a story sasa........jamaa akafanyeje baada ya hapo?
 
Jamaaa alisepa mbayaaa na zoezi lake likawa limeishia hapo hapo.
 
...teh teh teh....
Aende kwa Daudi Kameruni atamkuna..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom