Facebook:::A few minute near Tandale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Facebook:::A few minute near Tandale

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by King Kong III, Dec 8, 2011.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Habari Wadau,

  Najua mtaponda kwamba me natumia FB,ila kiukweli 99.99% ya member wa JF wana FB acc,swali langu ni configuration gani wana FB wanafanya? Maana uki-update status kwa chini pale inaonesha upo maeneo gani,wengi near kenya etc Je unafanyaje itokee? Mie kwangu haitokeagi kwa nini?
   
 2. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  duh
  Haya weee!!
   
 3. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ...Kukusaidia tu. Hili swali ungeliulizia fb ungepata jibu sahihi mara moja.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Da si Lamu kwani wewe haupo fb frankly speaking 99.99% ya JF member wamo FB,kuuliza humu ni sawa tu mkuu
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Karibu Memo
   
 6. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,455
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 280
  Ukipata naomba uni PM me pia nataka kujua inakuwaje mwaya.......
   
 7. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi natumia Blackberry hiyo option ni rahisi tu, sijui kwa kwa wanatumia PC au simu zingine zaidi ya Blackberry kama inawezekana. Ila kwa PC nafikiri ni vigumu. Subiri watalaam watakueleza
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,467
  Trophy Points: 280
  si uandike tu status yako
  ''is in UK'' .. Watu wana like na kuanza kukoment ..
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Si wako busy wanaponda fb? Ila kila kukicha wanaomba fb name, ku-pm humu wanamuogopa eliza wa salasala,lol
   
 10. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Aku PM nini sasa wakati jibu linawekwa hapa? watoto mnapenda PM nyinyi...
   
 11. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #11
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hata ukijua, sidhani kama itakusaidia sana maana Fesibuku wanaindoa anyway. Kwa usalama sio nzuri kwa sababu mtu anaweza kufuata nyendo zako. Kama kwenye Tandika, halafu status yako inasema uko Mbagala na kuna mwizi anakufuatilia anaweza kwenda kwako na kufanya kweli. Pia kwa wale watu wa nyumba ndogo au vidumu hawakufurahishwa na hili. Mtu umeaga unakwenda Kigamboni halafu status yako inaonyesha uko Tegeta possibly kwenye nyumba ya wageni?
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Dawa yao Eliza wa Tegeta,lol!
  Na hivi ww mod, usiwablock vijana wafanye practice
   
 13. Eddy Love

  Eddy Love JF-Expert Member

  #13
  Dec 9, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 12,864
  Likes Received: 6,314
  Trophy Points: 280
  kweri eliza anawafaa
   
 14. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #14
  Dec 9, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  tujuze nasi tujue namana ya kuset!
   
 15. Fighter

  Fighter JF-Expert Member

  #15
  Dec 9, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kama unatumia iphone4 ni rahisi kunabox check in status na ukibonyeza yenyewe inakulokate ulipo na kuuliza kama wataka kutumia current location status
   
 16. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #16
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,455
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 280
  Kwani hujui ndo zinatuweka mjini hizo PM?? Unafikiri mjini watu wanakuja na majembe......utalima lami??? nafikiri umenisoma, na habari ndo hiyoooo
   
 17. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #17
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,455
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 280
  Nabonjeza kitufe cha dislike........ bahati mbaya sijakiona
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  wapo wengi tu na ndio maana hata humu wapo wazushi wazushi kama wa fb maana wanatoka huko huko.
   
 19. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #19
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Kama unatumia PC, sehemu ya kuandika status kuna button ya location kwa chini yake, bonyeza itakuja sehemu ya kuandika.
  [​IMG]
   
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280

  Haaaaaaaaa Ivuga lol sina maana hiyo Haaaaaa naogopa mtu unaweza ukawa upo manzese ukaupdate nipo southern sun nakula bata halafu kwa chini kule ikaonekana near manzese sasa ndo naogopa si unajua FB acting nyingi.
   
Loading...