Kwa mwaka 2011 hebu mtaje unayemjua:
1.Aliye post jokes nyingi za kuchekesha ni........
2.Aliyechangia pumba kwenye thread ni.........
3.Mwenya hasira sana na za haraka ni.....
4.Waliokufurahisa...
Mother to her teenage daughter: I think this is the right time we should talk about sex.
Daughter (Excitingly): Sure mom, tell me what do you want to know.
Mother Faints...
So Long Arizona ... Moving to Illinois
Illegal immigrants are boycotting Arizona by the thousands, showing their outrage with Arizona 's controversial new SB-1070 law by moving elsewhere.
In...
Dilbert's "Salary Theorem" states that "Engineers and scientists can never earn as much as business executives, sales people, accountants and especially liberal arts majors." This theorem can now...
Dia Amina nimekuja toka nje basi leo nimekukumbuka sana,hasa penzi lako lilivyo Zito kwangu yani mithili ya chuzi zito zito lenye rojo la samaki kitonga,aliyeungwa na nazi3,pilipili, na ngongwe...
Wakubwa naomba mnisaidie hii mada kidogo,ELIMU na PESA bora nini maana unaweza kusoma vyuo vikuu hata zaidi ya mia lakini ukaacha chuo ukaenda kuomba kazi je kuna umuhimu kama leo hii ukizaliwa...
Siku chache sana zimebaki kuingia mwaka wa 2012.. Mwaka wa 2011 umetuletea New artist
and new songs. baadhi ya nyimbo ambazo nimezipenda mwaka huu ni zifuatazo hapo chini....
Je wewe ni zipi...
Leo nilikuwa mitaa ya temeke jijini dsm,tulikwenda kwenye arobaini ya jamaa yangu,nilichokiona hadi sasa sijaamini!kama kweli binadamu tumefikia hatua hiyo,kama mjuavyo siku ya hitima wafiwa...
Bibi kizee mmoja alikwenda benki moja maarufu sana hapa nchini ili kuweka fedha
zake. Alipofika mapokezi aliuliza."Naomba kumwona meneja mkuu wa benki
hii"Mfanyakazi wa mapokezi...
Mi sio mpenzi sana wa filamu za bongo,lakini ikitokea siku nisipoiona dictionary yangu huwa naangalia filamu za bongo,sasa katika kuangalia hzi movie zetu kati ya movie zote nilizoangalia ikifika...
Zamani za kale kulikua na vita huko MISRI. Nyerere na Kawawa walikuwa moja ya wapiganaji wa vita hvyo. Wakati vita vimenoga ikatokea njaa kali. Nyerere akanyanyua kaa la moto akamwambia Kawawa...
Hii nimeikuta mchuzi. Inachekesha ila ina ka ukweli ndani yake!
Mlokole: "Nyimbo gani mnapiga?!? Wekeni nyimbo za yesu.."Konda: "Vunga wewe, Yesu bado hajatoa album..."...
Waungwana, kuna majina ya ziada (a.k.a) mimi huwa yanayonikosha sana, ..na aya ni baadhi ya machache
1. Anne Makinda a.k.a Mama Posho
2. JK a.k.a Vasco da Gama
3..........a.k.a mzee wa...
Wakubwa naomba mnisaidie hii mada kidogo,ELIMU na PESA bora nini maana unaweza kusoma vyuo vikuu hata zaidi ya mia lakini ukaacha chuo ukaenda kuomba kazi je kuna umuhimu kama leo hii ukizaliwa...
Quote: "Mwalimu haya ni maisha yangu... nimejitahidi kusoma kadiri ya uwezo wangu lakini siwezi kujiamini asilimia 100% kwa somo lako na mtihani ni jumatatu nitahitaji msaada wako kwa namna yeyote...