naombeni msamaha

ACHA KUJISHTUKIA....hujaja hapa kumpendezesha mtu/watu fulani wafurahishwe na unachokiandika.
Andika unachodhani ni sahihi kwako, bila kujali yupi atafurahia au yupi atachukia, mradi tu Uzingatie Masharti na vigezo va jf.USIJALI HIZO PM.
 
Dah! Nashukuru sana kama umeuelewa mie binafsi "NIMEKUSAMEHE" ila kwa masharti kwamba utakuwa unachangia post kwa amani. Pia namuomba sana exellent nae akusame.hongera kwa kujua kosa lako japo umeomba msamaha kama unarazimisha.
 
Wala huna haja ya kuomba msamaha; li ukweli mie huwa nafurahia kukiwa na upinzani kwenye maada; inatufanya tufiri zaidi tunavyotaka kufikiri! ndo maana ya kuwa great thinker! so we endelea kukosoa ni haki yako kwa jamii!
 
tumekusikia. uache kuponda thread za wenzio.

mie sijamsikia hata kidogo, nitakula nae sahani moja mpaka mwishoni wa jf. Anaamka asubuhi asubuhi kuniharibia siku yangu Bure na elimu za milembe. Akitaka nimsamehe arudishe hicho cheti cha mwarobaini. Ngumi ngumi tu hapa msamaha ujinga.
 
Asanteni sn mlionisamehe, excellent, slave, manyaya n.k. Jakumbumba yeye naona hataki kunisamehe ngoja nimpm anipe namba yake niongee naye live. Lkn ajue usiposamehe na wewe hutasamehewa.
 
Asanteni sn mlionisamehe, excellent, slave, manyaya n.k. Jakumbumba yeye naona hataki kunisamehe ngoja nimpm anipe namba yake niongee naye live. Lkn ajue usiposamehe na wewe hutasamehewa.
Ni uamuzi wa busara mkuu,hapa ni free stress zone
 
Km yuko serious basi ni jambo la kuigwa kwa wenye vijimambo km wakusoma.
 
mie sijamsikia hata kidogo, nitakula nae sahani moja mpaka mwishoni wa jf. Anaamka asubuhi asubuhi kuniharibia siku yangu Bure na elimu za milembe. Akitaka nimsamehe arudishe hicho cheti cha mwarobaini. Ngumi ngumi tu hapa msamaha ujinga.

wewe kama hutaki kunisamehe achana na mimi, jua yako na mimi nijue yangu na tena unikome kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom