Jamani sasa binadamu tunakwenda wapi? huu sio ungwana hata kidogo ahaa!!!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,313
13,277
Leo nilikuwa mitaa ya temeke jijini dsm,tulikwenda kwenye arobaini ya jamaa yangu,nilichokiona hadi sasa sijaamini!kama kweli binadamu tumefikia hatua hiyo,kama mjuavyo siku ya hitima wafiwa huwa wanaanda misa na chakula.Sasa nimefika pale mapema,na watu walikuwa wengi,cha ajabu ilipokaribia mida ya chakula watu wengi vijana na wazee wakawa wanatoka,na kila anayerudi anakuja na kimfuko mkononi!ameshika hivi vimifuko laini,sikufatlilia sana balaa ni pale tulipoanza kugawa chakula heeee! kila mtu anafungua kimfuko na kutoa ndizi mbivu na pilipili!anaanza kula!Kumbe na wengine walitoka navyo nyumbani kabisa!Nilipowauliza baadaye wanasema eti mbona cku hizi ni vitu vya kawaida hususani dsm!kwani wanauhakika lazima cku kama hiiyo wali utakuwepo na wali bila ndizi mbivu na pilipili ya kutafuna haushuki vizuri!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!kwakweli kumbe siku hizi ubinadamu hamna.:eyebrows:​
 
Back
Top Bottom