Bibi na Meneja wa Benki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bibi na Meneja wa Benki

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by jrmlaurence, Dec 15, 2011.

 1. jrmlaurence

  jrmlaurence Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Bibi kizee mmoja alikwenda benki moja maarufu sana hapa nchini ili kuweka fedha
  zake. Alipofika mapokezi aliuliza."Naomba kumwona meneja mkuu wa benki
  hii"Mfanyakazi wa mapokezi akamuuliza,"Unataka kumuona kwa shida
  gani?""Nataka kufungua akaunti" akajibu bibi"Akaunti inafunguliwa hapa hapa mapokezi, sio kwa meneja" akajibu mtu wa mapokezi.
  "Mimi nataka kufungua akaunti ofisini kwa meneja maana nina pesa nyingi sana hapa" akasisitiza yule
  bibi kizee"Hata hapa unawezxa kufungua kwa pesa hizo zote na zitakuwa kwenye
  usalama tu"
  " Kama hutaki kunuruhusu kufungulia kwa meneja, basi nakwenda kufungua kwenye benki nyingine" akasema
  bibi huku akiwa amechukia.Kuona hivyo, mfanyakazi wa mapokezi akaamua kumpeleka kwa meneja.
  "Kwa nini mmeshindwa kumfungulia akaunti huko mapokezi" akauliza meneja"Amesema lazima afungulie kwako na nilipomsisitiza afungulie mapokezi alitaka kuondoka"Basi meneja akaamua amfungulie yeye
  akaunti. Bibi akazitoa pesa, zilikuwa shilingi milioni kumi taslimu! hadi meneja akashangaa na kumuuliza,"Bibi
  inaonekana pesa hizi umezidunduliza kwa muda mrefu sana ee""Hapana, nimezipata juzi juzi tu""Umezipataje?""Kwa kupinga na mtu""Kweli? kupinga tu hadi ukapata pesa zote hizo?""Yaah, nimepinga tu. Tena hata na wewe tunaweza kupinga tu
  ""Ehe,tunaweza kupinga vipi" akauliza meneja kwa udadisi. "Kwa mfano, tunaweza kupinga kuwa kesho saa kama hizi, pumbu zako zitakuwa za square yaani
  pembe nne.
  Kama zikiwa hivyo, wewe utanipa milioni kumi na zisipobadilika mimi nitakupa hizo zangu"Meneja kusikia
  hivyo, akakubali mara moja na wakapinga. Bibi kizee akaondoka.
  Meneja alibaki akiwa na wasiwasi sana , hadi alipotoka ofisini kila mara alikuwa anazishika
  pumbu zake kuona kama zimebadilika.Hadi siku iliyofuata asubuhi bado pumbu zake zilikuwa kama kawaida. Saa nne asubuhi bibi kizee alifika benkikwa meneja akiwa ameongozana na jamaa mmoja
  nyuma yake.
  "Ehe naona bibi umekuja" meneja akasema huku akiwa nawasiwasi. Mara moja akatoka kwenda
  chooni kuhakikisha kama pumbu zake ziko sawasawa. Akakuta hazijabadilika, akarudi mara moja ofisini kwake.

  "Haya bibi, pumbu zangu hazijabadilika, ehe, si unaona ziko sawasawa? nimekushinda!" akasema meneja kwa kutamba. Bibi kizee akamsogelea meneja na kumwambia kwa sauti ya chini chini.

  "Sawa baba lakini mimi nitahakikishaje?" "Njoo tu uzishike" akasema meneja."Sawa lakini lazima
  uvue suruali nizishike pumbu zako nihakikishe" alisema bibi.Meneja akavuaMeneja akavua
  suruali na bibi kizee akaanza kuzichezea pumbu zake.Wakati akiendelea
  kuzichezea (zilikuwa hazijabadilika) yule mtu aliyeongozana na bibi alikuwa
  anajibamiza ukutani kwa nyuma. Meneja akashangaa na kumuuliza bibi."Mbona
  huyo jamaa uliyekuja naye anajibamiza ukutani? huoni ataumia?"

  "Heh he heee!
  huyo KALIWA!!" alisema bibi na kuendelea, "Nilipinga naye jana kuwa leo hii saa nne
  nitakuwa nazichezea pumbu za menejawa benki kubwa hapa nchini, akakataa eti
  siwezi.

  Tulipinga
  shilingi MILIONI ISHIRINI! hivi anakwenda
  kuzitoa baba!

  "Meneja akachukua milioni kumi za bibi alizopinga na bibi, na bibi akabaki na milioni ishirini za yule jamaa!
  Bibi wa kizazi kipya huyo.
   
 2. W

  Wababa Senior Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahahahahahahahaha mbavu zangu jamaniii
   
 3. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hii kitu iko humu ndani, ni vema tukawa na utamaduni wa kutambua michango ya waliotangulia kupost vitu mbalimbali humu jamvini badala ya kurudia kupost as if ni original posts. Kama aliyepost sasa ndiye aliyeipost miaka ile, atanisamehe, lakini awe mbunifu badala ya kurudia kazi.
   
 4. b

  beyond heaven Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  bonge la double cross..
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Hii mimi ndo nilipost zamani
   
 6. m

  malaika2 Member

  #6
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bibi namkubali, ni bonge la creator
   
 7. 2k Genius

  2k Genius Member

  #7
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Me naona bora warudie tu maana wengine tusingesoma
   
 8. m

  malaika2 Member

  #8
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bibi mtaalam kweli, Kapata kitita cha pesa na bado kainjoi kumtomasa meneja
   
 9. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  double closing bt its gud to the infant members, baba umeweza
   
 10. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #10
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  We KOMBO kwel umeenda kombo..michango ya walio pita cye twaja tutaijueaje...fanya feasibility study kabla huja ropoka,na kama ulisha isoma we chapa mguu achia na cc wagen tujifunze.
   
 11. CHIEF MP

  CHIEF MP JF-Expert Member

  #11
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 1,570
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  No comment!
   
 12. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #12
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Utaijua michango iliyopita kwa kusoma post za zamani huko nyuma, kwani post zote hizo hazijafutwa, ila watu mnapenda kusoma ukurasa huu wa kwanza mkiona haipo mnajua ndo haijawahi kuwepo hapa. mnatupotezea muda kusoma soma mara mbili halafu unajifanya ndo umeleta wewe, wakati ilisha expire.

  Me naunga mkono hoja ya Kombo, watu tuwe tunasoma post zilizopita kwanza kabla haujarudia ku post posted post.

  Nawasilisha.
   
 13. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Unaona sasa? Mtu hapo alikuwa anajichukulia credits kiulaini kabisa!
   
 14. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nisamehe sana Mkuu!
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  ndo hivo mkuu,baadaye unaona michuzi naye kaweka halafu haandiki source,ila sometimes hatimiliki ingewezekana
  ni mhimu ili watu waheshimu mawazo ya wengine
   
 16. k

  kaleju Member

  #16
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo bibi ni mjasilia mali wa ukweli
   
 17. Wang'wise

  Wang'wise JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hahahaaaa
   
 18. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  bibi mjasiliamali huyu
   
Loading...