yaani kila ninapoweka post yangu huyo jamaa lazima aje kuponda,sijui ana tatizo gani
Wakusoma haya ndo mambo unayoyafanya humu.
kajifunguwa lakini mtoto si rizki
hiyo kimba ya huyo jamaa
haaaaahahahaa!!! Sitaki unifafanulie tena nishaelewa nn unamaanisha teh teh teh!
Afadhali excellent umenisaidia!ndo zake kuchafua hali ya hewa huku.kama hapendi jokes aende jukwaa linalomfaa!sh¥*¤* zake!
avator yako mbaya km ww ulivyo mbaya rohoni mwako