Zamani za kale kulikua na vita huko MISRI. Nyerere na Kawawa walikuwa moja ya wapiganaji wa vita hvyo. Wakati vita vimenoga ikatokea njaa kali. Nyerere akanyanyua kaa la moto akamwambia Kawawa "Kaa iro (CAIRO)" Kawawa akajibu "Mimi siri (MISRI)
Hicho ndio chanzo cha majina ya CAIRO na MISRI
Hicho ndio chanzo cha majina ya CAIRO na MISRI