Vituko nyikani

MR NDEE

Member
Aug 2, 2011
54
21
Nyoka alikinyagwa na panya huko mwituni mahojiano yakawa hivi

Nyoka:dogo mbona tunakanyagana?
Panya:sore braza bahati mbaya
Nyoka:bahati mbaya?lione jitu digo midevu kibao
Panya:we ni aje kubwa zima linatambaa:eyebrows:
 
Acha udwanzi, amekufurahisha umerefresh mind yako na hako ka usomi koko kako. Halafu unabeza. Wewe kimtu kidogo mbona hatuoni upupu wako.
 
Nilikuwa naona tu watu wakimlalamikia wa kusoma. Kumbe hawamuonei. Huyu dogo kwanza hajui maana ya majukwaa yaliyopo hapa. Kwa kuwa yeye ana post tu analojisikia bila kuangalia kama ni mahala pake, nimethibitisha hili kny post zake zaidi ya 2 na zingine admin amezihamisha kuzipeleka kunako stahili.

Please jamani, hebu tuwe wastaarabu kwa kufuata vigezo na masharti. wacha utani na vidokezo vyake vikae hapa na pelekeni mambo mengine kunakostahili.

Aliyepost hii yupo sahihi kuweka hapa nashangaa ka kusoma anapo ponda. Kwqeli elimu sio idadi ya darasa ulilofikia bali ni kiwango ulichofikia.

Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom