Wasifu mbalimbali kwa wana JF

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,539
11,442
Kwa mwaka 2011 hebu mtaje unayemjua:
1.Aliye post jokes nyingi za kuchekesha ni........
2.Aliyechangia pumba kwenye thread ni.........
3.Mwenya hasira sana na za haraka ni.....
4.Waliokufurahisa kwa coment zao ni.....
5..........................
6..........................
7..........................
8.
9.
 
Hahaaaaaa ushamaliza kukata gogo?????? Dah mshikaji uko juu kwenye kuny......a!!!!
Unatisha aiseeeee
 
Najua kwenye hii thread utaibuka kidedea kwenye kipengele kimoja na ndo umejihami nacho ila hakuna ujanja lazma uibuke mshindi, tuzo ni yako tu hata ufanyaje.
 
kuna jamaa alikuja na sread moja akaorodhesha majimbo yatakayokuwa wazi na sababu zake kabla ya 2015'ile jokes naikubali sana
 
Kwa mwaka 2011 hebu mtaje unayemjua:
1.Aliye post jokes nyingi za kuchekesha ni........
2.Aliyechangia pumba kwenye thread ni.........
3.Mwenya hasira sana na za haraka ni.....
4.Waliokufurahisa kwa coment zao ni.....
5..........................
6..........................
7..........................
8.
9.

tehetehe tihiiii

wafuatao ni:
1. aliyechangia pumba kwenye thread hii ni .....wakusoma
2. mwenye hasira sana na za haraka ni ........kaka jambazi na wakusoma
3. waliofurahisha kwa comment zao ni..........superluimbo na erickb52
4. wasiokuwemo kwenye list .... mimi mwenyewe sakapal

na log nje
 
Hahahahaaaa wa kusoma inabidi tumpe u-FATHER X-MASS hope unamfaa sana....hahahahaaaaa
 
Yaani wewe pamoja na kutulia kote weekend hii umeona uje na hii mada? Sasa hii nayo ni thread. Haya bwana na hapo mke wako ei anakuandalia chai, anajua unafanya kitu cha maana kwenye PC kumbe unaandika upupu JF.
Halafu mkuu vipi ile mitihani ya darasa la tatu umeshasahihisha? Hlf mkuu pole sana nasikia shule yenu imefutiwa matokeo mtihani wa STD VII.
wakusoma ni lini ututatulia,mbona unaamsha hasira za watu,hapa ni mahali ya kurefresh minds,we kila thread humu lazima uharibu,nini hasa tatizo lako kwenye threads za watu,lini utakua,huoni hata aibu jukwaa nzima linakulalamikia,kwanini unakuwa sio
mstaarabu,tatizo lako nini hasa humu,tumekukosea nini,kwanini unachuki binafsi?
 
Naona Daudi Mchambuzi atachukua ile ya member asiyekuwa mchoyo wa kugonga 'Like'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom