Vituko vya Madenge

nickname

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
544
147
Madenge na Babu yake walikuwa na mazungumzo yafuatayo;

BABU : Mjukuu wangu jifiche maana leo hujaenda shule na mwalimu wako huyoo anakuja.

MADENGE : Babu jifiche wewe maana nimetoa taarifa kuwa sijaenda shule kwa kuwa babu amefariki.
 
Kweli,madenge wa Jf a.k.a Wa kusoma anahitaji remote control maana hana tofauti na MADENGE original
 
Back
Top Bottom