Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,480
- 78,728
Karanga
Karanga
bebi...kwani full moon ni leo....?
Mi nadhani itakuwa half moon maana channel inachengachenga kibao
bebi...kwani full moon ni leo....?
hapana bebi..ila hujawai kusikia watu wakisema hivyo bebi wangu
sijawahi kusikia....nimeogopa kweli....nikajua ule mwezi wako wa kuwa nanihii ndo huu bebi....
Karanga
Naona bebi umenichoka sasa...haya bana...
sijakuchoka bebi....si unajua lazima niwe karibu yako bebi.........ili nikufunike bebi......
- Bebi ctakubali unifunike kabisa...nami nitajitahidi nikufunike..
bebi...si unajua kipindi cha full moon huwa unasahau kufunika......huwa hutaki vitu vilivyofunikwa kabisa.....
wewe mwenyewe unanijua navyopenda kufunua vilivyofichwa chini...
- Bebi ctakubali unifunike kabisa...nami nitajitahidi nikufunike..
Acha zako ww!! na ndevu zako hizo unakubali kuitwa bebii!!
MAPROSOO.
bebi...kwani full moon ni leo....?
kudadeki!! Kumbe Mtu Chake alifanikiwa kuchukua mzigo?