JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimechelewa ahadi ya kukutana na shemeji / wifi yenu mtarajiwa kwa dakika 10 tu nimekuta kaondoka na sms zinamiminika nyingi zikimalizia na asante / thanks. nakosa usingizi leo.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Amkeni jamani.
0 Reactions
60 Replies
4K Views
Umeme ulkatka kanisani,ghafla ukarudi! Mchungaji akasema,"kumamaye,umeme huo umerudi" Alickika mzee wa kanisa akiuliza kw hasira,"ni ****** gani anatukana kanisani?" Mmama mmoja muumin kwa hekima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naonaga kila MADA UPO NA MDA WOTE NDANI YA JF? HIVI MWENZETU UNATAFUTA RIZIKI YAKO SAA NGAPI?
2 Reactions
77 Replies
6K Views
Nimechoka na udaku unaohusisha visa vya mapenzi na ngono. Mara eti huyu kafumaniwa na mke wa mtu, mara eti yule kambaka mkewe nk. Nakuletea aina mpya ya udaku unaohusu wanaJF kwa jinsi...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Jamani naombeni msaada nimeboeka hadi basi na hasira juu hv hawa wenyehii supermarket wanataka watu waende pale kuuza sura tuu? Kwasababu mimi sijawaelewa kabisa maana yao ya kutangaza kwenye...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Watoto wa siku hizi waliozaliwa kipindi cha jakaya wenyewe wamejikita kwenye bongo fleva za akina diamond na ali kiba. Sidhani kama wanapata ladha tulioipata sisi Nakumbuka mimbo tuliyokuwa...
0 Reactions
122 Replies
9K Views
Padri alipotea mjini center, akamuambia kijana mmoja, naomba unifahamishe posta ilipo, kijana akamfahamisha mpaka akapajua. Padri akamjibu asante kwa kunionesha njia na wewe njoo kanisani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NJOONI TUCHEKE JAMANI,NAJISIKIA KUCHEKA NAOMBENI MNITEKENYE KIDOGO. MIMI NAANZA HIVI Kichaa alikuwa ufukweni mwa bahari akiwaza.. Jamaa akamuuliza "Unawaza nini?!"... Kichaa akajibu...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
pendekezeni hapa , zawadi yake nitamtoa out...au kama hatataka atachagua mtu wa kutoka naye out kwa gharama za double biii
0 Reactions
21 Replies
2K Views
SKONGA SKONGA SKONGA Hivi jaman watu tunafauatilia vizuri kile kipindi cha SKONGA cha EATV kinachoenedeshwa na Alan. Kiukweli nampa big-up sana Yule dogo lakini kinadhalilisha taifa(sorry kama...
5 Reactions
37 Replies
5K Views
Knock! Knock!....Namtafuta Rev Masanilo...yeyote mwenye habari yake naomba tafadhali maana nimemtafuta kila kona nayojua simpati naambiwa he been missing for about a month now...I am so worried...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
DORMITORY: When you rearrange the letters: DIRTY ROOM PRESBYTERIAN: When you rearrange the letters: BEST IN PRAYER ASTRONOMER: When you rearrange the letters: MOON STARER...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Uko gerezani umefungwa kifungo kisicho na mwisho, unapewa nafasi moja ya kutoka gerezani iwapo utapita mtihani ulio mbele yako. Mtihani wenyewewe. Unaonywesha milango miwili, kila mlango...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
Najua ulikua hujui jambo hili,sio wewe tu,bali wengi hawajui.Ni kwamba sio binadamu peke yake ambae anajihusisha na vitendo vya ushoga au usagaji.Wanyama nao kuna baadhi wana tabia hiyo,popo ndo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Improving your vocabulary can come from incidental learning from context direct learning or a combination of a person like meThe best incidental learning comes from reading good books and...
1 Reactions
191 Replies
10K Views
wana jf kunawatu wengi wanakuwa wagumu kweli kusema huyu ni mke wangu au nimume wangu wanasema jamaa yangu anawivu au jamaa yangu hayupo home tuonane jion wanashindwa kutoa utambulisho
0 Reactions
66 Replies
4K Views
Mwanakwaya anamlalamikia Padre: "Padre mke wangu hajui kufanya mapenzi kabisaa mi namwaacha haki ya nani tena .....!" Padri akajibu kwa confidence: "Si bora mkeo anajua kidogo, Mke wa mpiga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Najua wengi wetu tumeshaangalia sana movies ambazo zilitukaa sana kichwani na hazibanduki hata ukiamshwa unazitaja hapo hapo.
2 Reactions
108 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…