Popo nao kwa ubaradhuli!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,707
Najua ulikua hujui jambo hili,sio wewe tu,bali wengi hawajui.Ni kwamba sio binadamu peke yake ambae anajihusisha na vitendo vya ushoga au usagaji.Wanyama nao kuna baadhi wana tabia hiyo,popo ndo wana idadi kubwa ya mashoga kuliko kundi lolote la wanyama.Popo wengi wa kiume ni mashoga kuliko wale wasio mashoga.Hii ni siri yako.Usimwambie mtu ambae hajafikisha umri wa miaka 18!!
 
ha!...popo wengi wa kiume ni mashoga kuliko wale wasio mashoga....hapa sijakupata....
 
Back
Top Bottom