Eheheeeee ahahaaaaa siipendi chit chat | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eheheeeee ahahaaaaa siipendi chit chat

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Smile, Mar 6, 2012.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  NJOONI TUCHEKE JAMANI,NAJISIKIA KUCHEKA NAOMBENI MNITEKENYE KIDOGO. MIMI NAANZA HIVI


  Kichaa alikuwa ufukweni mwa bahari akiwaza.. Jamaa akamuuliza "Unawaza nini?!"... Kichaa akajibu "natafakari hii bahari ingekuwa supu sijui ningeinywa kwa chapati ngapi
   
 2. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Duuh haya bwana huyo jamaa kweli kawehuka...
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mbona ujanichekesha bwana?
   
 4. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Eheheeeeeeeeeeeeeee ahahaaaaaaaaaaa Smile nae
   
 5. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  siku ya kwanza naisoma hii msg kwenye simu yangu nilicheka kwa kupayukaa...
  ni nzuri...
  ila mm nataka nikutekenye...
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  njoo njoo
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mbona hamnichekeshi bwana aaagghhhh
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,532
  Trophy Points: 280
  unataka kutekenywa mrembo,
  akutekenye nani sasa,
  wengine wanafinya badala ya kutekenya.
   
 9. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  dah...kazi kweli kweli, huyo sio kichaa" ni teja,kitu cha arusha juu yake
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  makunifinya simtaki .ila sipendi mikono laini
   
 11. S

  Saas JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Padre mmoja akiwa kwenye gari alisimamishwa na Trafic Police,police akiwa anahitaji rushwa alianza kuuliza maswali mengi, mara mbona gari lako linatoa moshi mwingi? mbona gari lako matairi yameisha, hatimaye polisi akamuamuru padre waende nae kituoni.

  Njiani polisi alimuuliza padre, umesema wewe ni padre, je unabiblia ndani ya gari, padre akajibu ndio ninayo, polisi akamuambia padre, pack gari pembeni na unipe biblia.

  Padre akapaki gari na kumpa biblia yule polisi, Polisi akasita kupokea, akamwsambia Padre 'fungua na usome Matayo 5:25-26 "Mtu wa Mungu akasoma ": malizaneni na aliyekukamata kukupeleka mahakamani.. ..malizaneni upesi.. yamalize mambo haya mngali bado njiani kabla hajakukabidhi kwa hakimu... ambaye aweza kukuhukumu na kukukabidhi kwa bwana jela ili akutie gerezani.

  Amin nakwambia hautaachiwa hadi umetoa senti ya mwisho...


  Mtu wa Mungu akampa yaliyo yake kaizari. Polisi akatabasamu na kusema 'msifanye migumu mioyo yenu.. nenda na amani
   
 12. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nataka usimamie kucha...
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ofisini huwa tunachelewa sana...manager akasema tuwahi kesho yake ili tukae kikao kabla ya kazi...asbh wote tulichelewa kufika ila manager alichelewa zaidi...so alikuta wote tushafika..ilipofika agenda ya kuchelewa..akasema "Siku hizi mnachelewa sana ila leo wote mmewahi" hahahaaa wacha watu wacheke...
   
 14. S

  Saas JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaa mmoja alikua anatongoza demu. Wakati akitongoza uume wake ukawa umesimama. Kwa hasira jamaa akafungua zipu akaitoa nje kisha kwa hamaki akasema "tongoza mwenyewe basi kwa sababu una haraka sana".
   
 15. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kitu 7.5" njeeeee...
  hii nimeipenda...
   
 16. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwi kwi kwi..
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ahahaaa yooooooo
   
 18. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Duuh hii mutu ninoma asee....
   
 19. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kwi kwi kwi daah
   
 20. S

  Saas JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mchungaji: Halleluiah x3
  Mkalimani: Mtakula Halua x3
  Mchungaji: My name is Doctor Livingstone
  Mkalimani: Jina langu ni Mganga Anayeishi
  kwenye jiwe
  Mchungaji: I am coming from Johannesburg
  Mkalimani: Ninatoka katika mfuko wa Yohana
  Mchungaji: I am a Preacher
  Mkalimani: Mimi ni Mchicha
  Mchungaji: You know, today is Sunday
  Mkalimani: Mnafahamu, leo ni siku ya Jua Kali
  Mchungaji: And I want to give you a story
  Mkalimani: Na ninataka kuwapa Mtori
  Mchungaji: Jesus is a Messiah x3
  Mkalimani: Yesu ni Mmasai x3
  Mchungaji: Jesus is about to come back
  Mkalimani: Yesu anakaribia kuja nyuma
  Mchungaji: And He is coming with the Holly
  Spirit x3
  Mkalimani: Na anakuja na Lori la SPRITE x3
  Mchungaji: Thank you and GOODBYE!
  Mkalimani: Asante na UNUNUZI MWEMA!
   
Loading...