Nimechelewa appointment | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimechelewa appointment

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mabagala, Mar 6, 2012.

 1. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,427
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nimechelewa ahadi ya kukutana na shemeji / wifi yenu mtarajiwa kwa dakika 10 tu nimekuta kaondoka na sms zinamiminika nyingi zikimalizia na asante / thanks. nakosa usingizi leo.
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,616
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Pole sana jemba. Always remember that "time is money"!
   
 3. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,427
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  si unajua kibongo bongo dakika kumi mbona ni chache ukizingatia na mafoleni ( sometimes hata kama hamna tunachomekea), kazi nnayo leo
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Mabagala mzima wewe?
   
 5. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 614
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 80
  Mabagala
  With this type of thinking you will always end up where you at now! If keeping time is of essence kwa mwenzio then act accordingly na achana na hizi siasa za kizamani ie. kibongo bongo! Besides what is the point of having an appointment when one never shows up on time???
   
 6. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,398
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Wifi yetu anajua ku keep time! I believe next time utawahi nusu saa kabla..
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Huyo wifi wa kichina...
  Hajui shida na raha wala kuvumiliana...
  Pole komaa tu ila mweleweshe awe muelewa
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Mr. You are not commited guilty Bro ! The only way to overcome the matter is mediation with her!
  Just find a time for reconciliation mr Mabagala, soon as you can , not otherwise.
   
 9. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Keep time & shut up.
   
 10. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,427
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kwakweli nilibanwa na shughuli nyengine mdogo wangu Nemo. Ila dakika kumi tu basi ndo akasirike na kuondoka? Yeye alishaniweka sana kama masaa mawili, kwavile bia zilikuwa zinanikampani basi haikuwa shida, sijataka kumkumbusha, ntakwambia siku nikikutana nae atachelewa tu kama kawaida ya wadada, kakosa uvumilivu wa dakika kumi kweli? ten minutes???
   
 11. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,427
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Haya kichwat, I will mpwa
   
 12. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,427
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kwa leo hataki kuelewa kabisa, nimejaribu hadi nimechoka sasa, usingizi hauji
   
 13. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,427
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Amyner huwa nawahi masaa mawili kabla yake, ni leo tu nilibanwa si unajua pia ni siku ya kazi leo ( mwenzako yeye si mwajirtiwa)
   
 14. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,427
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mi mzima AshaDee, umefanya kupotea sana asee
   
 15. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pole sana,,mueleweshe tu ataelewa na next time usirudie kosa
   
 16. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,398
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Sasa kama ni hivyo ulishamzoesha kuwa punctual leo lazima ajiulize maswali..
   
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  We lala tu usingizi utakuja wenyewe....
   
 18. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ...aisee uyo mzungu...
  umesema hujawahi kuchelewa,hii ni mara ya kwanza...
  sioni sababu ya kushindwa kukuelewa...tena dk 10?
  alikua anayake kichwani...ikalipuliwa na hilo lakuchelewa..
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 180
  Hata hivyo amekusubiri sana. Mi dk 2 tu ningekuwa nishaondoka.
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,925
  Likes Received: 5,080
  Trophy Points: 280
  pole mwaya. Mchunie mwenyewe atakutafuta.

  Hata hivyo badili tabia, dk 10 kwenye kidate huonekana kama masaa 10!
   
Loading...