Malalamiko ya mwanakaya kwa Padri

Chenge

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
1,073
377
Mwanakwaya anamlalamikia Padre: "Padre mke wangu hajui kufanya mapenzi
kabisaa mi namwaacha haki ya nani tena .....!"

Padri akajibu kwa confidence: "Si bora mkeo anajua kidogo, Mke wa mpiga kinanda ndio hajui kitu, Mke wa Petro yule mzee wa kanisa na **** lake kaa ghorofa ndio bure kabisaa anazidiwa hata na sister Tuli. Yaani kwa humu mwenye nafuu ni Mkeo na Salome yule mwalimu wa Sunday School ........"














 
Askofu naye hafui dafu hapa, bila shaka na Askofu amwambia Padri hata sista hajui afadhali nayule wa Baba nanihi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom