jE,uDAKU KWENYE JF LAZIMA UHUSISHE MAPENZI NA NGONO? TAZAMA HIZI.

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Nimechoka na udaku unaohusisha visa vya mapenzi na ngono. Mara eti huyu kafumaniwa na mke wa mtu, mara eti yule kambaka mkewe nk. Nakuletea aina mpya ya udaku unaohusu wanaJF kwa jinsi ninvyowafahamu.Ukivutwa na aina hii ya udaku ongeza ya kwako. Haya, tuanze:

1.Preta ahudhuria mkutano wa Injili viwanja vya NMC Arusha. Ashikwa na mchanganyiko wa furaha na mshangao pale anapogundua kwamba mhubiri ni Miss Judith.Mvua kubwa iliyonyesha muda mchache kabla mahubiri kwisha ilimnyima Preta nafasi ya kwenda kuzungumza na Miss Judith.

2.E2themiza na Young Master wabuni na kusuka software ya kubaini wanaJF wenye id zaidi ya moja.Software hiyo imepewa jina la MaxSensor2012 kwa heshima ya Maxence Melo mmoja wa waanzilishi na mfadhili wa JF. Software hiyo ilipojaribishwa, wafuatao waligundulika kuwa na id zaidi ya moja: Faiza Foxy, Malaria Sugu na jane 000.

3.Baosita anaunda timu ya mpira wa miguu ya JF. Anasisitiza kwamba mlinda mlango atakuwa rejao.

4 Ta Muganyizi amPM Dr Riwa akitaka msaada wa tatizo linalomkabili la kushindwa kuhisi harufu ya kitu chochote.Dr amshauri apunguze urefu wa pua yake kwa sababu vibeba harufu vyote huishia puani bila kufika kwenye ubongo kutafsiriwa.

5.Mtambuzi azindua kitabu chake cha riwaya iitwayo:"Safari ya Mauti"

6.Fidel80 akutana na Naz Jaz.Katka mazungumzo yao, Fidel80 aomba kujulishwa namna ya kuongeza minyama mingi mwilini
7..........
8...........
............. (endeleza tadhfl. ukiweza)
 
so wot?
 
Back
Top Bottom