Addiction unaijua wewe! achana nayo kabisa

kadefeghe

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
446
629
Unahisi nazungumzia pombe or wanawake! No, duniani Kuna vitu vina addiction hujawahi ona. Mimi mfano kuna jamaa Zangu wana mabasi ukiwaambia kuhusu scania hawakwambia kitu. Unaijua kadhia ya scania wewe, anyway tuache hayo

Hivi mitsubishi fuso unaijua wewe. Kuna sehemu nilikuwa nayo yeaah, ni rahaaaaah.! Watu wenye Tandam huwambii kitu..Kabsaa!maisha ni kuchagua

Mimi hunambii chochote kuhsu konyagii.

Wadau karibuni kwa addiction zenu.
 
Unahc nazingumzia pombee or wanawake..no..duniani Kuna vitu vina addiction hujawahi ona.@mm mfano Kuna jamaaa Zang Wana mabasi ukiwaambia kuhusu scania hawakwambia kitu....unaijua kadha ya scania wew..anyway tuache hayo ..iv mitsubishi fuso unaijua ww. .Kuna Sehem nlikua nayo yeaah..n rahaaaaah.!watu wenye tandam huwambii kitu..Kabsaa!maishaa n kuchaguaaa@mm hunambii chochote kuhsu konyagii..wadau karibun kwa addiction zenu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Sigara
 
Unahisi nazungumzia pombe or wanawake! No, duniani Kuna vitu vina addiction hujawahi ona. Mimi mfano kuna jamaa Zangu wana mabasi ukiwaambia kuhusu scania hawakwambia kitu. Unaijua kadhia ya scania wewe, anyway tuache hayo

Hivi mitsubishi fuso unaijua wewe. Kuna sehemu nilikuwa nayo yeaah, ni rahaaaaah.! Watu wenye Tandam huwambii kitu..Kabsaa!maisha ni kuchagua

Mimi hunambii chochote kuhsu konyagii.

Wadau karibuni kwa addiction zenu.
Soka. Nilishawahi kuangalia Mechi ya AC Milan Vs Man utd marudio mara mbili Kwa kuunganisha
 
Back
Top Bottom