JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hello dears natafuta marafiki jinsia yoyote kwa ajili ya kubadilishana mawazo,, things about me I'm introvert and extrovert too thank you 😊
2 Reactions
14 Replies
1K Views
"Karibu brother" "Asante, nataka kunyoa ndefu tu na kupunguza hizi za pembeni" Unamaliza, anaitwa binti akuingize kwenye chumba, unajua unaenda kuoshwa, lakini anakukalisha kwenye kiti...
30 Reactions
63 Replies
6K Views
1) Katika maisha ya kawaida tunatumia zaidi ya miaka 6 kuota. 2) Wanyama wote huota pia. 3) unasahau 90% ya ndoto ndani ya dakika 10 baada ya kuamka. 4) Watu wa mkono wa kulia, kwa wastani...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu habari. Mimi na sheherekea valentine day nikiwa nimelazwa hospital baada ya kupata ajali hivi karibuni na sheherekea na madaktari na manesi huku wakinipa vinywaji vyangu vikiwa drip za...
9 Reactions
61 Replies
2K Views
Wanajishtukia sana lakini kimsingi ni watu ambao tunawaheshimu na kuwapenda. Ufupi sio ulemavu ni maumbile kama ilivyo urefu, unene au wembamba. Ufupi usikufanye ujisikie vibaya na kukufanya...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Huyu Mtu Maarufu sana Ndani ya Mji wa Sinza Full Mbabe na alishawahi Shinda Mashindano ya Mr Dar Es Salaam na aliposhinda na kukabidhiwa kikombe akakishika kwa Mkono wake akakiminya hadi kikawa...
1 Reactions
56 Replies
17K Views
Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu Itazua Balaa! 😂
4 Reactions
11 Replies
743 Views
Nmeona watu wana kumbushia experience yao na hii kitu huko X,sisi tuliyo ikuta inapotea mpk leo tuna experience na huu ugolo wa wamasai. Wanasema ni kali kuliko ugoro wa kawaida sasa wahindi...
2 Reactions
9 Replies
678 Views
Just imangine wewe ni kijana wa miaka chini ya 30, hujaoa na una kazi nzuri tena unafanyia posta Dar es Salaam. Mshahara ni take home kama 2M hivi na unakaa either sinza or kigamboni. Maisha haya...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Mjuavyo tena, leo ndio siku ya wapendanao; msiponiona humu kuanzia saa nne na kuendelea, mjue nimeenda kujumuika na upande wangu wa kushoto(Hawa) katika kuburudika katika hii sikukuu ya...
6 Reactions
56 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Uliona nini ukajua kuwa sasa umri wako umeenda?
11 Reactions
249 Replies
8K Views
Game tafu sana Wakuu ikabidi nikumbuke nina kachenji uchafu kalibaki CRDB, ndio kwenda kuhakikisha balance nikaambiwa kuna 15800 sasa kibaya sina card ya ATM, ilipotea na hata sim banking line...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Leo mimi ndo nimejua kuwa ninatakiwa nitafute mtu sahihi katika maisha yangu nimeumia sana jmn
5 Reactions
14 Replies
677 Views
Umenyoa na hajaja Endelea kujikuna!!! Eti..vp wewe... mambo yako na bebii wako yaliendaje leo!!
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Ukiingia kwenye JF Web Analysis utakutana na zaidi ya members zaidi ya laki 8, zaidi ya Post 8m na Guest 6m. Cha ajabu, huwa sifumanii mwana JF akiwa JF Nimeishia kuona Guests wakiwa kwenye vituo...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Namtafuta rafiki yangu wa kitambo sana, tulipotezana mwaka 2019 hapa JF. Kama ananiskia tafadhali anicheki pm.
4 Reactions
7 Replies
555 Views
ANAFANYA kazi TANESCO?
0 Reactions
1 Replies
469 Views
Kitambo sijakuwepo jukwaani. Nmewamiss sana nikisema nianze kutaja mmoja mmoja sitamaliza. Hivi mnajua ushauri wenu uliniamsha usingizini nikaachana na yale mahusiano sugu. 2024 ni mwaka mzuri...
10 Reactions
62 Replies
2K Views
Suala la utapeli lipo kila mahali, angalia hapa jinsi Tapeli anavyotafuta hela kwa njia ya Ki-Michael Jackson,
2 Reactions
0 Replies
608 Views
Back
Top Bottom