Maisha Haya

Sawa

Maisha yako maamuzi yako just live your life.

Kama wewe unaona maisha mazuri kwako yaishi, usitake uishi jinsi watu wanayotaka bali ishi jinsi unavyotaka.
 
Back
Top Bottom