Nani anafurahia mvua ya leo Dar?!I'm NOT!!
Yani hali ya hewa inakua nzuri maana joto linapungua sema natamani ingenyesha siku ambayo sina mizunguko nitulie zangu ndani.Au ingenyesha kidogo tu...
Habari.
Imani Yangu Wote Mnaendelea Vyema Na Majukumu Ya Kila Siku.
Turudi Kwenye Mada Hapo Juu Kuhusu Lifestyle Ya Mwanamke Ndio Itaamua Mwanamke Kuolewa Au Kutokuolewa.
Wanawake Wengi...
Wakuu ukiambiwa utoke na nani jf utatoka naye mie sina akilini bado kwa maana kila mtu humu anawake nisije logwa nikasumbuka kutafuta k yangu iko wapi?
Kama umelelewa na ndugu, watu baki, au na mama pekee au baba pekee kutokana na kufiwa na mama, au baba ama wazazi wote. Tuwakumbuke na kuwaombea waendelee kulala mahali pema peponi. Nasi tutafuata...
π€ππ....kosa linalorudiwa zaidi ya mara moja ni uamuzi. Kosa linalorudiwa zaidi ya mara mbili ni tabia. Kosa linalorudiwa mara tatu zaidi ni tabian
Wadau hamjamboni nyote?
Lengo la Uzi huu ni kutoa fursa ya kufahamiana kwa urahisi sisi tuliotoka mikoani na sasa tunaishi Dar es salaam
Hatukusudii kujadili uzuri au ubaya ya Kabila fulani hapa...
Italian Relationship:
1st day= Sex
2nd day= Sex again.
French Relationship:
1st day = movies & kiss
2nd day = Sex
3rd day = Sex again
British Relationship:
1st day= hangout & kiss
2nd day =...
Mtumishi wa Mungu Dada na Mama yetu Sr. Suzan Barthlomeo amefariki dunia kwa tukio linaloaminika kujirusha toka Ghorofani baada ya Misa za Asubuhi!
Kikatoliki si Halali kwa Marehemu kufanyiwa...
1. Hujawahi kunywa pombe
2. You've never watched porn
3. You've never cheated on your patner
4. You've never fought with someone since you were born
5. Kukaa siku nzima bila kula
Watu wa hulka hiyi sijui wana matatizo gani? Yaani ni wa bishi mno nakumbuka nilikuwaga na ex wangu mmoja hivi mkianza kukaa kubishana hata umueleweshe vipi kukuelewa ni ngumu.
Basi kuna siku...
Chumba cha mtihani ni mahala ambapo pameja vihoja vingi sana hasa kwa level kuanzia Darasa la 4 hadi elimu ya juu hata Masters!
Katika uzi huu naomba tukumbushane vihoja ambavyo tumekutana navyo...
Hahahahahaha awali ya yote nianze kwanza Kwa kucheka kuashiria Kwa sasa niko na furaha muda wote baada ya kufanikisha mambo niliyoyawish kama ifuatavyo.
1. FLOW YA HELA
Ni muda mrefu sasa akaunti...
Enzi hizo ukienda Rungwe Oceanic Beach Resort ya Mzee Mwakitwange ulikuwa unakuitana na majina kama vile DJ Ngomely, DJ Pop Juice na wengine. Ukiosea jirani na hapo Rungwe, yaani Silver Sands...