Jamani tujikumbushe vitabu vya o'level vya fasihi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani tujikumbushe vitabu vya o'level vya fasihi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mr Penal Code, Aug 23, 2012.

 1. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  hebu tujikumbushe vitabu vya fasihi ambavyo tumesoma o'level na Mhusika Gan ulikuwa unampenda zaidi.
   
 2. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  Ngoswe penzi kitovu cha uzembe mhusika niliyekuwa nampenda ni Ngoswe na binti mazoea.
   
 3. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  The Money Order - Sembene.
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Mzee ngengemkeni mito mingi alikuwa ana niacha hoi sana!

   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,300
  Likes Received: 22,088
  Trophy Points: 280
  Elimu mitaani kulikuwa na riwaya ya Harakati za Pimbi, stelingi alikuwa ni Dr. Love Pimbi
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Things Fall apart::Chinua Achebe
  The river between:Ngugi wathiong
  No Longer at easy::
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  usiwasahau na kina Obi...Linda....Zumo na Mayuku.....
  pia riwaya kama...usiku wa balaa....Dar es Salaam usiku....Njama....Tutarudi na roho zetu....Kiruka njia.....Rosa Mistika.....
  Niendelee......?
   
 8. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Rosa Mystica cha Ezekiel Kezilahabi.
  Kilikuwepo home, niko darasa la 1 au la 2, nikakutwa na mama nakisoma, akaninyang'anya, akakificha, akasema hd nikikuwa ndo nitakisoma.
  Nilipokuwa sec, ndo nikakisoma, nikatambua why nilinyang'anywa kipind kile.
   
 9. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwenye Sani, kuna riwaya ya Maji Mazito ya hayati Said Mbwana Makaja Bawji,
  pia kulikuwa na mtu anaitwa RAMOZA(Rashid Mohamed Zahor) anapika riwaya kwenye gazeti la kiongozi.
   
 10. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Söng of lawino and ocol pamoja na i will marry when i want
   
 11. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kuna hii: 'Dunia uwanja wa fujo' ya huyo Mkerewe, Ephraim Kezilahabi, mama yako angekukuta na hii, ungekula bakora nyingi!
   
 12. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Na zawadi ya ushindi je? Au 'mua uliozamisha meli'?
   
 13. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mi nimesoma hicho kitabu lkn mpaka leo sijui kilikua na maana gani sijui ni kwamba nilikua sisikilizi au nilikua sielewi
   
Loading...