Mvua...

Sijui ndo zimeanza au ni ule mkondo wa joto la bahari upande wa Madagascar niliona kwa BBC Weather jana! TMA kimya! Hawa TMA nao ninadhani kuna haja ya wao kupewa vifaa vya kitaalamu zaidi.
 
Nani anafurahia mvua ya leo Dar?!I'm NOT!!

Yani hali ya hewa inakua nzuri maana joto linapungua sema natamani ingenyesha siku ambayo sina mizunguko nitulie zangu ndani.Au ingenyesha kidogo tu kama jana....

mvua ya kichokozi hii.. Hainyeshi weekend, halafu inatafuta that specific day in a mid week where u got so many plans ndo inanyesha..
 
Nani anafurahia mvua ya leo Dar?!I'm NOT!!

Yani hali ya hewa inakua nzuri maana joto linapungua sema natamani ingenyesha siku ambayo sina mizunguko nitulie zangu ndani.Au ingenyesha kidogo tu kama jana....
Hizi data za mvua unastua watu !
Kuna jamaa zetu wametoroka Magwepande, wakisikia mambo ya mvua wanazeeka fikra ghafla .
 
Mie imeniboa sana,
Imenyesha siku niliyosahau kamwavuli kangu hm,
Ile kufika salenda ikaanza kumwagika yani tabu tupu!
 
Nani anafurahia mvua ya leo Dar?!I'm NOT!!

Yani hali ya hewa inakua nzuri maana joto linapungua sema natamani ingenyesha siku ambayo sina mizunguko nitulie zangu ndani.Au ingenyesha kidogo tu kama jana....
Mi binafsi naenjoy leo maana jiji lilishanichosha na joto hadi nkapamiss arachuga....I'm now happy
 
aise acheni inyeshe bana...
maana sim ninazopigiwa leo...
zinaashiria kua nahitajika sana leo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom