Mwanamke lifestyle yako ndio itaamua ndoa yako

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,583
188,801
Habari.

Imani Yangu Wote Mnaendelea Vyema Na Majukumu Ya Kila Siku.

Turudi Kwenye Mada Hapo Juu Kuhusu Lifestyle Ya Mwanamke Ndio Itaamua Mwanamke Kuolewa Au Kutokuolewa.

Wanawake Wengi Wamekuwa Wahanga Wa Lifestyle Zao Hivyo Kukosa Wanaume Wa Kuwaoa, Na Kufikia Mahali Kuanza Kusema Ndoa Ni Bahati Au Hakuna Wanaume Wa Kuoa.

Ila Ukweli Ni Kwamba Lifestyle Yao Wanayoishi Imewaondoa Kwenye Sifa Za Kuwa Nafasi Ya Kuolewa.

Wanawake Ni Wengi Ila Lifestyle Yao Imewapunguza Kwenye Idadi Ya Wanawake Wanaostahili Kuolewa.

Umri Wa Miaka 20 - 26 Kwa Mwanamke Hapa Tunasema Mwanamke Anakuwa Katika Peak Na Inahitaji Umakini Sana Kwa Mwanamke Ili Usipite Bure Kama Ambavyo Wengine Imewapita.

Kutokana Na Wanawake Kuwa Katika Ubora Wao Kwenye Age Hiyo (20yrs - 26yrs) Wanawake Wamefanya Makosa Na Kuanza Kuishi Kitalii. Maadili Na Malezi Ya Kitanzania Yapo Wazi Kabisa Yameonyesha Namna Gani Mwanamke Uwe Na Stara Pamoja Na Heshima Kwenye Jamii.

Niwape Siri Ndogo Tu Wanawake, Mwanaume Utafuta Mwanamke Wa Kuoa Si Kwa Sababu Yake Mwenyewe Bali Utafuta Wanamke Wenyewe Maadili Na Stara Kwa Sababu Ya Watoto Wake Wawe Kwenye Mikono Salama Hata Kama Hatokuwepo.

Maana Kuacha Watoto Kwa Mwanamke Mpumbafu Ni Kupoteza Generation Zijazo Pamoja Na Ndoto Zao. Angalia Vyema Unavyoishi Kwenye Jamii Yako Usifate Sana Mkumbo.

Wengi Wamesombwa Na Wimbi La Maisha Walivyokuwa Wanaishi Vyuoni Wamepeleka Mtaani Na Hapo Ndio Kosa Kubwa Lilipoanzia.

Namna Ulivyokuwa Ukiishi Vyuoni Na Mtaa Ni Vitu Viwili Tofauti, Maana Umri Utakuwa Unasonga Wakati Ulitakiwa Kuwa Kwenye Track Nzuri.

Wanaanza Kutambua Na Kujutia Katika Age Ya Nenda Kwa Usalama (27yrs - 29yrs) Na Hapo Wanakuwa Wanatembea Kwenye Deadline.

Wakifika 30yrs Hapa Sasa Wanakuwa Desperate Na Kuanza Kukashifu Ndoa Na Wanaume, Kumbe Walikosea Wenyewe Kwenye Age Ambayo Walitakiwa Wafanye Maamuzi Sahihi Ila Wakafata Lifestyle Ambazo Zimeharibu Mipango Na Kuwaondolea Sifa Za Kuwa Mke.

Yote Kwa Yote Wanawake Wenye Age 20 - 27yrs Msifanye Makosa Waliofanya Makosa Waliowatangulia Mtakuja Kukumbuka Mkifika 30's.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu
 
Yaan binti wa miaka 20 aache kuenjoy ujana wake akimbilie ndoa ili akafujwe humo ndoani awe kizee kisichotamanika, waacheni mabinti zetu wafurahie ujana wao, muda ukifika wa wao kuoelewa wataolewa tu, watu wanaolewa na miaka 60 sembuse 30+

Pia acheni mawazo ya kijima, ndoa sio mafanikio ya mwanamke, wafundisheni hayo mabinti zenu, wapeni elimu, waacheni waka explore dunia wapate exposure ukifika wakati sahihi which is wakiwa Matured enough wataolewa.
 
Habari.

Imani Yangu Wote Mnaendelea Vyema Na Majukumu Ya Kila Siku.

Turudi Kwenye Mada Hapo Juu Kuhusu Lifestyle Ya Mwanamke Ndio Itaamua Mwanamke Kuolewa Au Kutokuolewa.

Wanawake Wengi Wamekuwa Wahanga Wa Lifestyle Zao Hivyo Kukosa Wanaume Wa Kuwaoa, Na Kufikia Mahali Kuanza Kusema Ndoa Ni Bahati Au Hakuna Wanaume Wa Kuoa.

Ila Ukweli Ni Kwamba Lifestyle Yao Wanayoishi Imewaondoa Kwenye Sifa Za Kuwa Nafasi Ya Kuolewa.

Wanawake Ni Wengi Ila Lifestyle Yao Imewapunguza Kwenye Idadi Ya Wanawake Wanaostahili Kuolewa.

Umri Wa Miaka 20 - 26 Kwa Mwanamke Hapa Tunasema Mwanamke Anakuwa Katika Peak Na Inahitaji Umakini Sana Kwa Mwanamke Ili Usipite Bure Kama Ambavyo Wengine Imewapita.

Kutokana Na Wanawake Kuwa Katika Ubora Wao Kwenye Age Hiyo (20yrs - 26yrs) Wanawake Wamefanya Makosa Na Kuanza Kuishi Kitalii. Mahadili Na Malezi Ya Kitanzania Yapo Wazi Kabisa Yameonyesha Namna Gani Mwanamke Uwe Na Stara Pamoja Na Heshima Kwenye Jamii.

Niwape Siri Ndogo Tu Wanawake, Mwanaume Utafuta Mwanamke Wa Kuoa Si Kwa Sababu Yake Mwenyewe Bali Utafuta Wanamke Wenyewe Mahadili Na Stara Kwa Sababu Ya Watoto Wake Wawe Kwenye Mikono Salama Hata Kama Hatokuwepo.

Maana Kuacha Watoto Kwa Mwanamke Mpumbafu Ni Kupoteza Generation Zijazo Pamoja Na Ndoto Zao. Angalia Vyema Unavyoishi Kwenye Jamii Yako Usifate Sana Mkumbo.

Wengi Wamesombwa Na Wimbi La Maisha Walivyokuwa Wanaishi Vyuoni Wamepeleka Mtaani Na Hapo Ndio Kosa Kubwa Lilipoanzia.

Namna Ulivyokuwa Ukiishi Vyuoni Na Mtaa Ni Vitu Viwili Tofauti, Maana Umri Utakuwa Unasonga Wakati Ulitakiwa Kuwa Kwenye Track Nzuri.

Wanaanza Kutambua Na Kujutia Katika Age Ya Nenda Kwa Usalama (27yrs - 29yrs) Na Hapo Wanakuwa Wanatembea Kwenye Deadline.

Wakifika 30yrs Hapa Sasa Wanakuwa Desperate Na Kuanza Kukashifu Ndoa Na Wanaume, Kumbe Walikosea Wenyewe Kwenye Age Ambayo Walitakiwa Wafanye Maamuzi Sahihi Ila Wakafata Lifestyle Ambazo Zimeharibu Mipango Na Kuwaondolea Sifa Za Kuwa Mke.

Yote Kwa Yote Wanawake Wenye Age 20 - 27yrs Msifanye Makosa Waliofanya Makosa Waliowatangulia Mtakuja Kukumbuka Mkifika 30's.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu

Na wewe jifunze kuandika ni MAADILI sio MAHADILI, ndio nyie mnataka tuwaozeshe mapema mabinti zetu wakati hata kuandika hamjui.
 
Wengine Utajionea Hapa Hapa Kwenye Comment Zao Unabaki Kushangaa.

Nahisi Kwenye Ile Tafiti Ya Kati 10 Wanne Ni Vichaa Basi Hata Hawa Wanaongeza Idadi.
Wakifikia umri mkubwa bila kuolewa hasa wakifika 30+ huwa wanakuaga kama wamepata katatizo kadogo ka akili ila wao huwa wanajiona wako sawa, sisi watazamaji ndo tunagundua kuna sehem kichwani nyaya zimechubuka alafu zinagusana kiaina
 
Yaan binti wa miaka 20 aache kuenjoy ujana wake akimbilie ndoa ili akafujwe humo ndoani awe kizee kisichotamanika, waacheni mabinti zetu wafurahie ujana wao, muda ukifika wa wao kuoelewa wataolewa tu, watu wanaolewa na miaka 60 sembuse 30+

Nani Kakudanganya Kuishi Kwenye Maadili Na Stara Ufurahii Ujana?

Wengi Wanaochakazwa Na Kuchaa Ni Hao Wanaotaka Kuishi Kisasa Na Ikifika Umri Huo Wanakuwa Hawatamani Tena Kama Ni Km Zinakuwa Zimesoma Kweli Kweli.

Pia Naona Unajifariji Kuwa Kama Wenye 60+ Wanaolewa Sembuse 30+?.

Acha Kudanganya Vijana Kwa Maneno Laini Wakati Unajua Ukweli Upo Wazi Kabisa.
 
Yaan binti wa miaka 20 aache kuenjoy ujana wake akimbilie ndoa ili akafujwe humo ndoani awe kizee kisichotamanika, waacheni mabinti zetu wafurahie ujana wao, muda ukifika wa wao kuoelewa wataolewa tu, watu wanaolewa na miaka 60 sembuse 30+

Pia acheni mawazo ya kijima, ndoa sio mafanikio ya mwanamke, wafundisheni hayo mabinti zenu, wapeni elimu, waacheni waka explore dunia wapate exposure ukifika wakati sahihi which is wakiwa Matured enough wataolewa.
DQ unawadanganya wenzio. Utachomwa kama mishkaki kwa kuwapotosha wenzio.....
 
Yaan binti wa miaka 20 aache kuenjoy ujana wake akimbilie ndoa ili akafujwe humo ndoani awe kizee kisichotamanika, waacheni mabinti zetu wafurahie ujana wao, muda ukifika wa wao kuoelewa wataolewa tu, watu wanaolewa na miaka 60 sembuse 30+

Pia acheni mawazo ya kijima, ndoa sio mafanikio ya mwanamke, wafundisheni hayo mabinti zenu, wapeni elimu, waacheni waka explore dunia wapate exposure ukifika wakati sahihi which is wakiwa Matured enough wataolewa.
Si ajabu wewe ni katika waliokosea na sasa unaamua kuwapeleka chaka wenzako!

Mleta mada ametanabahisha tu, atakaetaka ajifunze asietaka apuuzie hakuna haja ya makasiriko.
 
Nani Kakudanganya Kuishi Kwenye Maadili Na Stara Ufurahii Ujana?

Wengi Wanaochakazwa Na Kuchaa Ni Hao Wanaotaka Kuishi Kisasa Na Ikifika Umri Huo Wanakuwa Hawatamani Tena Kama Ni Km Zinakuwa Zimesoma Kweli Kweli.

Pia Naona Unajifariji Kuwa Kama Wenye 60+ Wanaolewa Sembuse 30+?.

Acha Kudanganya Vijana Kwa Maneno Laini Wakati Unajua Ukweli Upo Wazi Kabisa.

Watu wanaolewa kila siku acheni kuwatisha, nyie vijana ambao bado mnajitafuta hua mnapenda sana kuwakatisha tamaa mabinti zetu, kama ndoa ni mafanikio basi jua hata wenye 60s wanaolewa.....

Kama unahisi kuenjoy maisha ni kufanya uhuni basi wewe exposure imekupita mbali
 
Back
Top Bottom