Ndege John nimejitafuta hatimaye nimejipata

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,821
Hahahahahaha awali ya yote nianze kwanza Kwa kucheka kuashiria Kwa sasa niko na furaha muda wote baada ya kufanikisha mambo niliyoyawish kama ifuatavyo.

1. FLOW YA HELA
Ni muda mrefu sasa akaunti yangu Inasoma pesa zaidi ya million 2 haijaisha ndani ya miezi miwili Kwa sababu nashinda Sana kwenye betting natumia makampuni matatu sportpesa.co.tz, betpawa na gal sport in short nimeamini kuipata hela lazima uwe na Hela nachofanya mimi Natumia tu hesabu nachukua double chance tatu na ushindi wa normal tatu nawapa win walahu watoe odds Sita natia 10000 na huku mikeka mingine sita nawaua hao hao wakubwa Kwa ten ten hivyo najikuta miwili au mmoja umenirudishia lost yangu au kupata faida Kwa hivyo maisha yanamudu hadi kufanikiwa kununua code yaani pamba and of course I bought six white tickets shirt (form six) together with new five jeans and four pair of shoes while my money being maintained (around 2 million). Napendeza mimi mkoa mzima culture culture kali simu kali full bundle.

2. KUPUNGUZA MATUMIZI YA TUNGI

Hilo nashukuru Sana Kwa sasa nikienda bar pombe za kuzungusha Meza sizitaki automatically nataka nitambe mimi peke yangu nigawe mwenyewe Kwa kujilinda na kujielewa sio pombe za kutokuwa na ustarabu ni Ushamba tu.

3. KUTOSHOBOKEA MADEMU
TOKa mwezi wa ramadhani uanze aisee pamoja na kuwa na kibunda ila sitaki kabisa demu anayeringaringa najua kabisa anawinda noti zangu halafu aanze kuleta MAPOZI kuonekana tuanze uhubby aisee napiga chini faster Kwa utamu gani aliokuwa nao yeye anatembea na kitengo muda wowote maboss wanaweza KUMTAKA.UKIRUKA KUPATA POSHO NDO HUPATI TENA MIMI MBELE MASAA.

4. KUHESHIMIKA TENA NA FAMILIA

Moja Kati ya ninaojivunia nayo Sana kuelekea sikukuu ya Easter yaani mambo yako Safi kiroho safi nimesamehe wote maraia na jamii naenda nayo Sawa kiasi cha kujiona naweza kugombea udiwani na nikapapata si Kwa sababu ya roho nzuri watu wanaona kabisa utakuwa ukipita nyumba Kwa nyumba kugawa posho na mazaga mazaga.

TAFUTENI HELA

Screenshot_20240313-230809.png
Screenshot_20240313-230653.png
Screenshot_20240313-230633.png
Screenshot_20240319-013803.png
Screenshot_20240314-002907.png
Screenshot_20240314-002838.png
Screenshot_20240313-230819.png
Screenshot_20240313-230619.png
 
betting sio kazi. we all know this. unataka kuwa tapeli tu watu na fake betting groups
 
Back
Top Bottom