JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
"Naamua kujinyonga kwa sababu mke wangu ameamua kuendeleza uhusiano wa kimapenzi na dereva wa bodaboda licha ya jitihahada zangu za kumkataza kuachana na kijana huyo"-Alphonce Kaselema mkazi wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Inafunguliwa rasmi leo maeneo ya Tabata Ubaya Ubaya..... Naomba mniunge mkono wana JF, ndio nimeanza mchakato wa kujiajiri ili kuondokana na umasikini. Nyama choma, ndizi choma, na mchemsho wa...
8 Reactions
67 Replies
5K Views
Je? Ni kweli mwanafunzi bora anatokana na mwalimu au akili yake!
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Aisee!....Usipime! Maumivu ninayoyapata kukukosa cl ni noma,Napoteza hamu ya kula,mapigo ya moyo yamechenge,kwa sasa siwezi tena kudrive,nikisema nilale sipat usingiz,nikisinzia ni muda mfupi sana...
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Anaitwa Yummy mara ya mwisho alivaa gauni lenye rangi mbili nyeusi na nyeupe naambatanisha picha yake, iliyopigwa muda mfupi kabla hajatoweka, picha hii ilipigwa wakati akiingia club na baada ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijaribu kufikiria maisha ya nyuma niliyoyaishi na ya sasa na naona kama kwa sasa nipo kwenye ulimwengu tofauti kabisa. Nimezaliwa na kukulia katika mazingira ya kawaida, ambapo...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
nikaribisheni ili kila siku mcheke na mangi
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Boy: Marry me .. ? Girl: Do you have a house .. ? Boy: No..!! Girl: Do you have a BMW car .. ? Boy: No..!! Girl: How much is your salary .. ? Boy: No salary.. but,..!! Girl: No but. u have...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanachitchat hamjambo? Muda mfupi uliopita nimepokea simu kutoka kwa Erotica akiwa Oldonyo Sambu alikoenda kwa shughuli muhimu. Afya yake iliimarika vizuri ndo maana aliweza kusafiri. Alitaka...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Za sahizi wana jamvi, mi leo ni salama salimin ila tuu kichomi kinanisumbua kidogo mda huu, Tuache hilo tuje hapa mi ninapata wakati mgumu haswa pale nimsikiapo mtu akilalamika kua hajaliwi...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Ilikuwa mara ya kwanza kwa Bimkubwa wa kichaga kuvinjari hotelini basi akajikuta ameketi karibu na wazungu,waiter alipofika na kuwauliza awahudumie nini,Mzungu wa kwanza mwanamme akajibu JOHN...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hi Guys..... respect.. I may travel to Nairobi by end of the week.. I would like to be furnished on affordable hotel accommodation, preferably in the heart of Nairobi, a secure location, good...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
DHAMIRA YA BABA RIZ KUKUZA MICHEZO NDO IMETUFANYA TUFANYE HIVI KUTOKANA NA VYANDARUA VYA NCHI 3 KUTO FAA KWENYE VITANDA VYETU :plane:
0 Reactions
1 Replies
2K Views
From Yahoo friends Wife comes home late at night and quietly opens the door to her bedroom, from under the blanket she sees four legs instead of two. So, she reaches for a baseball bat and starts...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mr Omollo was starved of sex because his wife had just given birth. One day, the wife said, "my Love, I know how u must be feeling because of my condition; pls take this tsh 2000 and look for...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
MUNGU AKULINDE MIKONONI MWAKE, AKUPE MIAKA MINGI YENYE MAFANIKIO NA AFYA TELE NA ABOVE YOTE AKUEPUSHE NA MABAYA. HAPPY BIRTHDAY EVERSMILIN GaL!
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Vichaa watatu waliamua kutoroka hospitalini Mirembe kwenda dodoma mjini wakiwa wamepeana majukumu tofauti tofauti, kichaa mmoja jukumu lake lilikuwa ni kuhesabu magorofa yote yaliyopo mjini, wa...
3 Reactions
30 Replies
13K Views
Jamani juzi jioni mishale ya saa kumi na moja nilikuwa na rafiki angu wa kike,alipenda kupiga picha mbili tatu kwa hiyo akaomba tutafute maeneo mazuri na yakuvutia, kwa kihelehele changu nikaenda...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habarin wana jamvi natumai mko poa na mnaendelea na mishe za kila cku za kujipatia mkate wa kila siku
0 Reactions
1 Replies
747 Views
Za jioni wana chitchat, mwenzenu niko vibaya, nina mawazo sana na cjui kama ucku wa leo nitapata usingizi, so naomba mwenye hadithi ambaye hatachoka kutype au kubofya aniandikie niwe nasoma wakati...
0 Reactions
71 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…