Mwenye hadithi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye hadithi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Siri Sirini, Sep 10, 2012.

 1. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Za jioni wana chitchat, mwenzenu niko vibaya, nina mawazo sana na cjui kama ucku wa leo nitapata usingizi, so naomba mwenye hadithi ambaye hatachoka kutype au kubofya aniandikie niwe nasoma wakati wa kutafuta ucngizi,
   
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Unalipia shiing'ngapi ?
  Starehe gharama!
   
 3. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nitakutumia vocha ya buku.
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Hadithi, hadithi

  Hapo zamani za kale palitokea sungura na fisi......walikuwa marafiki sana......siku moja wakaenda porini kutafuta chakula!


  Ntakuja kuendelea baadae kidogo!
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Unamdhalilisha shemeji Judgement....ajipinde kwa vocha ya buku ???? unamfananisha na watoto wa form two B eeh?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Paliondokea watu wawili mtu na mkewe.
  Mke alipata mimba,siku ya kujifungua ikafika lakini bahati haikuwa upande wake kwani wote wawili walifia Labour.
  Mume alipopewa taarifa kwamba mkewe na mwanae wamekufa,nae akanywa sumu.
  Na Hadithi Yangu Imeishia Hapa.

  Ujumbe:
  Wanaume jitahidini kuoa wake wengi ili kuepuka kukosa vyote.
   
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  sis mzima weye, ngoja niendeleze. . basi walivofika porini sungura akamwambia fisi wa tafuta nyama me ntatafuta majani. basi fisi akapata nyama nyingi kweli, lakini sungura akapata majani. . . .
  sis sweetlady ukirudi endelea, me nimechoka kutype lol. . . .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. peri

  peri JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  duh, kweli hii ni chit chat, haiishi vituko.
  Inabidi nikitoka kwenye siasa niwe napita huku kupooza akili.
  Ngoja nitunge hadithi mkuu nitakuja...
   
 9. peri

  peri JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  huu ujumbe nimeupenda.
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mie mzima sis......basi sungura akawa anamlazimisha fisi wabadilishane yale majani......fisi akakataa
  charminglady si wajua leo zamu yangu jikoni? Njoo uendelee bana!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahaha hadithi yako inatufundisha nini Madame B?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Ufanyie kazi kama uko kitengo hiko.
  Ni raha sana.
   
 13. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Inatufundisha kuwa Wanawake Walio Kwenye Ndoa Wasitubanie Wale Tusiokuwapo Ili Kuepa Waume Kujitoa Roho Kisa Kukosa Watoto.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. peri

  peri JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  bwana mmoja alifiwa na mkewe, wakati wa mazishi babake akawa anamfariji kwani jamaa alionekana anahuzuni sana.
  Baba: usihuzunike mwanangu, kuwa mvumilivu, pengine baada ya miezi 6 utapata mwanamke mwingine na maisha yatarudi kama zamani.
  Jamaa (tena huku akiwa kataharuki):
  miezi 6?
  Mi hapa nawaza nitafanyaje usiku wa leo.
   
 15. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Madame B u always make me laugh, duh afu leo cjakutia machoni ati!!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahahaah huyo jamaa kiboko lol!
   
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Madame B tunaomba hadithi nyingine......mleta mada bado hali yake sio nzuri!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Dah mzee mzima umetoa ofa vocha ya buku? Hahahaha, basi mi napita tu
   
 19. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #19
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Mamito me nipo always,
  C unajua tena mambo ya Job?
  Tupo pamoja charminglady.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #20
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  ok sis, basi ukimaliza nistue nije kula make nahc ubao wa kufa mtu. . .
  tuendelee, basi fisi akakataa kubadilisha majani kwa nyama na sungura. sungura akakasirika wakaanza kupgana ila fisi akamshinda sungura nguvu. kuanzia cku hyo fisi na sungura ni maadui!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...