Naamua kujinyonga....!!

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
70,817
93,479
"Naamua kujinyonga kwa sababu mke wangu ameamua kuendeleza uhusiano wa kimapenzi na dereva wa bodaboda licha ya jitihahada zangu za kumkataza kuachana na kijana huyo"-Alphonce Kaselema mkazi wa kijiji cha Lema Kyela dakika 2 kabla hajajitia kitanzi (Mwananchi la leo uk 14)
 
maisha matamu i cant die kijinga ivyo huku nimuachie nani hivi vituko?
 
LOL nilidhani watu8 kachoka na maisha kumbe ni stori tuu.

hivi maandiko yanasemaje kuhusu kujiua?
 
Last edited by a moderator:
LOL nilidhani watu8 kachoka na maisha kumbe ni stori tuu.

hivi maandiko yanasemaje kuhusu kujiua?

wee raha zote hizi nijiue thubutuu!...kujiua ni sawa kabisa na kuua, hivyo ni dhambi na mbaya zaidi hupati muda wa kutubu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom