Swali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KARIA, Sep 11, 2012.

 1. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 718
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Je? Ni kweli mwanafunzi bora anatokana na mwalimu au akili yake!
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,439
  Likes Received: 3,236
  Trophy Points: 280
  Mwanafunzi bora anatokana na Mwalimu.
  Kwani anaweza akawa na akili yake lakini akashindwa aitumie vipi pasipo kupata mwongozo juu ya utumiaji wa hyo akili yake
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  The good teachers are key to student's achievement .
  A good teacher is a good student first ! By repeatin his lessons, he acquires excellence.
  A good teacher is like a candle , it consumes itself to light the way fo others .
   
 4. M

  Mkumbavana Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni akili yake shule anaenda kufanyani?
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,455
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  akili ni mwanafunzi lakini maarifa ni mwalimu
   
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Hii ni sawa na kutafuta umuhimu wa Kuku na Yai kipi bora!
  Utakesha w/out resolution!
   
 7. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,439
  Likes Received: 3,236
  Trophy Points: 280
  Kwanini Abnormal wanapelekwa shule?
   
 8. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Both.
  .
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,455
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  yeah kind of...ila dent bila kujishughulisha utakuwa unachezea namba za spanner
   
 10. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,455
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  si ili wakapate maarifa...ninaposema akili simaanishi ogani ya ubongo namaanisha utashi, ufahamu, ung'amuzi
   
 11. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  aah wapi....walimu waliotusomesha sie walikuaga zero ni wanafunzi ndio zilikua zinacharge...mwalimu anakupa tu mwelekezo ila wewe mwenyewe kama ni zero utakua zero hata ka mwalimu awe chinga vipi
   
 12. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,439
  Likes Received: 3,236
  Trophy Points: 280
  Temea mate chini.
  Namchukia sana na simpendi mtu anaeponda walimu maisha.
  Eti kwa vile wewe umefanikiwa maishani.
   
 13. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,205
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  matokeo vipi?
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dada Madame B, mwalimu wa kiingereza enzi zile anafundisha somo la kiingereza kwa kiswahili, anaongea anachapia hata maneno humsikii vizuri, so unataka kusema mimi leo hii najua kuongea na kuandika kiingereza kwa sababu yake? wakati lugha yenyewe alikua haijui? mwalimu wetu wa hesabu alikua mkifanya test akisahihisha anakosea anakupa marks ambazo sio zenyewe alafu inabidi baadae kwenda kwake alafu anakubadilishia anakupa marks sawa...kweli huyu yeye amenisaidiaje kama sio kujisaidia mwenyewe...mwalimu unakuta ni standard seven failure alafu anafundisha wanafunzi wapi na wapi
   
 15. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,439
  Likes Received: 3,236
  Trophy Points: 280
  Yapi hayo?
   
 16. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,205
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Tulifanya uchaguzi humu au umesahau?
   
 17. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,439
  Likes Received: 3,236
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi wa wachumba,wake.waume,au mamiss?
  Funguka.
   
 18. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,205
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mamiss rafiki!
   
 19. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,412
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  tililika.....
   
 20. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,439
  Likes Received: 3,236
  Trophy Points: 280
  1. Remmy
  2. Charminglady
  3. Madame B.
  Ila 'Anko Lundenga' hajakabidhi zawadi mpaka leo.
  Na mshindi hajaonekana kwa mumewe tangu siku ile.
  Hatujui aliko.
   
Loading...