Wanachitchat Salamu zenu Kutoka kwa @EROTICA!

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Wanachitchat hamjambo? Muda mfupi uliopita nimepokea simu kutoka kwa Erotica akiwa Oldonyo Sambu alikoenda kwa shughuli muhimu. Afya yake iliimarika vizuri ndo maana aliweza kusafiri. Alitaka atume salamu mwenyewe ila simu imemshinda kutumia; amezoea zaidi dadavuzi mpakato! Anasema anaikumbuka sana chitchat na siku akiingia ana stori nyingi za kuwapa! anawakumbuka sana wafuatao: charminglady, cacico, gfsonwin, Elizabeth Dominic, Bishanga, Kaizer, na Kaunga. Wapo wengine lakini orodha kamili nime-i-misplace samahani. Kwa wote hawa anasema: Mwaaah!
 
Last edited by a moderator:
Kwani Erotica anaolewa mara ngapi kwa mwaka? Kwa nini wazungumzia mume mpya? Huko aliko alikwenda kikazi! Mumewe wamjua yupo na wanapendana sana mno kabisa!

Keshamwagwa ni leo ! Labda wewe tu ndiyo hujapata newzi !
Mbona watu kibao wanaelewa?
Na mali zake zingine wenye mihela yao wamejibinafsisha Pande za Arachuga!
 
keshamwagwa ni leo ! Labda wewe tu ndiyo hujapata newzi !
Mbona watu kibao wanaelewa?
Na mali zake zingine wenye mihela yao wamejibinafsisha pande za arachuga!

judgement nilishadhani unareveal nimemuoa afadhali!
 
unamaanisha jamaa alikuwa hampi nafasi? kila kona analo! is that what you mean?

Ndiyo maana yake! Binti wa watu alikua hapumui !
Hasa ktk yale mambo yetu! Bingwa hanaga interval !
Kutwa x 3 !
Kama panadol ! Akipumzishwa hapo ni kuhusu NASA tu!
 
Wanachitchat hamjambo? Muda mfupi uliopita nimepokea simu kutoka kwa Erotica akiwa Oldonyo Sambu alikoenda kwa shughuli muhimu. Afya yake iliimarika vizuri ndo maana aliweza kusafiri. Alitaka atume salamu mwenyewe ila simu imemshinda kutumia; amezoea zaidi dadavuzi mpakato! Anasema anaikumbuka sana chitchat na siku akiingia ana stori nyingi za kuwapa! anawakumbuka sana wafuatao: charminglady, cacico, gfsonwin, Elizabeth Dominic, Bishanga, Kaizer, na Kaunga. Wapo wengine lakini orodha kamili nime-i-misplace samahani. Kwa wote hawa anasema: Mwaaah!

Huu ni uongo mkubwa! Oldonyo Sambu ndio kituo changu cha kazi na wenyeji wa eneo hili wote tunajuana. Mbona hatujamuona mgeni siku za karibuni? Mzushi mkubwa wee Hygeia japo wewe ni jamaa yangu!
 
Last edited by a moderator:
Huu ni uongo mkubwa! Oldonyo Sambu ndio kituo changu cha kazi na wenyeji wa eneo hili wote tunajuana. Mbona hatujamuona mgeni siku za karibuni? Mzushi mkubwa wee Hygeia japo wewe ni jamaa yangu!

kweli jina lako naliamini lol! yaaani umetoboa siri kabisaaaa
 
Huu ni uongo mkubwa! Oldonyo Sambu ndio kituo changu cha kazi na wenyeji wa eneo hili wote tunajuana. Mbona hatujamuona mgeni siku za karibuni? Mzushi mkubwa wee Hygeia japo wewe ni jamaa yangu!

Mzushi ni nani Mtoboasiri? Ni mimi niliyesema erotica kaenda Oldonyo Sambu au ni wewe uliyeandika kwamba location yako ni 'Banned'? Wewe hufanyi kazi Oldonyo Sambu ila unafanya panapoitwa Banned, sijui ndo wapi hapa Tanzania. lukwanyia lingi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom