Bimkubwa wa kichaga

Mangii

Member
May 3, 2012
52
3
Ilikuwa mara ya kwanza kwa Bimkubwa wa kichaga kuvinjari hotelini basi akajikuta ameketi karibu na wazungu,waiter alipofika na kuwauliza awahudumie nini,Mzungu wa kwanza mwanamme akajibu JOHN WORKER SINGLR wA 2 AKAAGIZA captain morgan single watatu ambayea alikuwa ni mmama akaagizaJACKIE DANIELI SINGLE,Bimkubwa alipotazamwa hata kabla ya kuulizwa chochota akajidai wa mjini kitaambo akajibu ELINGISHAELI MASSAWE MARRIED,akijua wenzake walikuwa wanataja majina na na marrital status
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom