we wasemaje katika hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

we wasemaje katika hili

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by beibe nasty, Sep 11, 2012.

 1. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Za sahizi wana jamvi, mi leo ni salama salimin ila tuu kichomi kinanisumbua kidogo mda huu,

  Tuache hilo tuje hapa mi ninapata wakati mgumu haswa pale nimsikiapo mtu akilalamika kua hajaliwi ukimuuliza sa zingine atakuambia kisa zamani nilikua natoka nae out sana but sikuhizi hakuna tena au amepunguza au tulikua tunachati sana but sikuhiz hata wiki ikipita mtu hashtuki na message anaziona saa mi nabaki sina chakuwajibu watu hao , ndio maana leo nkasema si haba nkapata ufafanuzi kidogo kama si wakina katka suala zima la mjalijo we ni vitu gani ukifanyiwa unahis hapa najaliwa?
  ,
  Nawasilisha
   
 2. peri

  peri JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mtu kuonyesha ukaribu nawe, kukujulia hali mara kwa mara, kukusaidia unapokuwa na tatizo,
  kufanya mambo au vitu unavyovipenda ili akufurahishe.
  Mi nadhani hayo ndo makubwa, wengine watachangia zaidi.
   
 3. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nashukuru kwa mchango wako
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  me kunijulia hali asubuhi na jioni. kuwa bega kwa bega nami wakat wa shida na raha. . . kunishirikisha katika isue zake za kawaida. kunipa ushauri. hapo atleasu ntaona kuwa ananijali. . .
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Not you only as BeibeNasty!
  Their so many people who just curious to know or study from others! .
  Takin care of your Galfriend or
  Boyfriend
  Hus
  Wife
  It means to care for,
  be there when needs you .
  Be friendly , to take of emotionally and physically if needing .
  I think that in all relationships both patners have to take care of one another.
  It's not that you have to, but you want to.
  Then it doesn't matter true love is not logical !
  It's emotional .
  It's not feelin ! Bt it's a choice .
  If there was a true lv connection, which again , only you know, then that experience will always rise above any conflict that rears, it's ugly head in your relationship.
   
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Suala zima la kujaliwa ni pamoja kufanyiwa au kufanyiana mambo yafuatayo;
  1. Kujaliana ktk shida na raha pasipo kuangalia uwezo mlionao kati yenu.

  2. Kuheshimiana kati yenu na jamii inayowazunguka pasi na kugetuka na kuchaukana kiasi cha kipato chenu.

  3. Japo kujuliana hali wakati mwingine huambatana na ukimya labuda wa taharuki ya mpokeaji wa habari itolewayo,pasi na shaka,usisite,yawezekana mwenzi wako ametingwa na shughuli.
  Itokeapo khali hiyo,usichukulie hasira na ghadhabu,bali jaribu kupembua yako,kisha yake,mkishindwa basi ni uhangaikaji wa shughuli za kila siku.

  Na amini ukishakengeuka kwa lolote aidha 1 au 2 na labuda 3 basi waweza ita ujulianaji wenu wa khabari hauko sawia kwa muktadha wa mapenzi kati ya wawili walio mapenzini.
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hiyo "labuda" yako imenogesha maudhui yako!
   
 8. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  unaitwa BN a.k.a mrs Judgement,
  Mi kwa sasa,no comment! isipokua kama ukikutana na charminglady mwambie nampenda,bhaass
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Judgement na Madame B wamesema yote. Need I say more?


  Arushaone. OFFICIAL HUS TO Madame B
   
 10. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni m-badala wa 'Labda',
  Ni muhimu,
  Kuheshimiana,kujaliana na kulinda utu wa mtu pasipo kuangalia fulani Jf ni member,senior,expert,Gold au Tanzanite,
  Muhimu ni Heshima na Utii.
  I Love All wana Jf kwa michango yenu.
  ...LOLESTT...
   
 11. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Kujali...ni namna ya kuonesha wingi wa hisia juu ya mtu fulani. Kifupi ni ambatano la kimoyo na kimwili baina ya wawili katika huzuni na furaha.
  Jinsi unavyoweza kumchukulia mwenzako kwa kipimo kile kile anachojisikia basi hapo bila shaka utakua unaonesha kujali.
   
 12. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmm!we kweli ulipofikia ni hatari!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  wifi,
  ishi vile uwezavyo si mtu atakavyo.... Anayelalamika hamtoki out alifanya juhudi gani ili mtoke? Na kama majukumu yameongezeka utayaignore ili umridhishe mtu?

  Zena mie mtu akilalamika kuwa simtafuti wakati namna yangu anayo ndo nampotezea mazima..... Upendo wa mshumaa sitaki mie
   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mi mtu mzima! Nilishakusoma vizuri hiyo "labuda" umeitumia kimnogesho nimeipenda! Utanikubalia nami nikijisikia niitumie? Maanake niliwahi sikia kuna baadhi ya misemo ya wenyewe hapa ina copyright ! Mi na'request pasteright !
   
 15. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  Mi zawadi tu.. yani ukinletea choclate au icecream at least twice a week ntakukbali sana..
   
 16. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Utailipia sh ngapi ili nikumilikishe?
  Labuda ninaweza kukuonea huruma.
   
 17. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kanuni ya manunuzi inasema declaration price haitoki kwa buyer! Hutoka kwa seller!
  Labuda ziwe methods zimebalika !
   
 18. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ooooh key cl my shostito
   
 19. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Hebu twende sawa ndugu.
   
 20. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #20
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Dada dada upo dipu
   
Loading...