Dah!maumivu ninayoyapata kukukosa charminglady bora nirudi jera(BAN) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dah!maumivu ninayoyapata kukukosa charminglady bora nirudi jera(BAN)

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ruhazwe JR, Sep 10, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Aisee!....Usipime!
  Maumivu ninayoyapata kukukosa cl ni noma,Napoteza hamu ya kula,mapigo ya moyo yamechenge,kwa sasa siwezi tena kudrive,nikisema nilale sipat usingiz,nikisinzia ni muda mfupi sana na penyewe naokuota wewe,Marafik wananishaur ni kate tamaa,moyo wala mwili hauko radhi kukata tamaa.Nimekua nusu chizi,network haisomi kabisa.Jamani cl naitaji huruma yako kwa kweli,nione huruma,ukauzu unaonifanyia si mpango.KAA CHINI UTAFAKARI.Nakupenda,ntakupenda popote utakapokua,vyovyote utakavyokua.
   
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  C6 cum ths way my huz, breakfast ipo tayari. . . afu leo nimekuandalia zile bites unazozipenda, yan utajirambaje thatha. . .xoxoxooo!!!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mwaaa!!..how is monday kipenzi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  baby charminglady hapa sasa ndo umenifikisha, siwezi kupata kifungua kinywa bila wewe pembeni yangu, nilishe nikulishe tusahau shida za dunia mpenzi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  pole sana ni mapito tu hayo
   
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  umemuona wapi charminglady ?kama ukikutananae mwambie nampenda
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ukikutana naye mwambie nampenda
   
 8. Naisujaki Lekangai

  Naisujaki Lekangai JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 1,315
  Likes Received: 1,278
  Trophy Points: 280
  Naomba nikushauri kaka yangu wakati ndio sasa, Huyu charminglady keshanyakuliwa na C6 yaani ni mke wa mtu. Kwa nini unang'ang'ania pasipofaa? Hujui mke wa mtu ni sumu kali? Achana naye, ingia mtaani wamejaa tele!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: JF raha sana..ukiwa unamtamani mke wa mtu unasema na wala hakuna fujo...ingekua tuko mtaani hapa ungekuta watu washashikana mashati
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  ukitaka ban we poromosha matusi ya ukweli,
   
 11. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  jeraaaaaaaa....rraaaaa!
   
 12. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  wakati ndio sasa najua unampenda lakini ndo hivyo tena kaka, mwenye nguvu mpishe, kama waswahili wanvyosema mwenye kisu kikali ndo atakae enjoy nyama, step aside kaka kama domo zege nikusaidie kuna kadada kazuri hapa ofisini kwangu ni kageni nadhani katakufaa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Shemu nakusalimu!
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  unakoelekea Wakati ndio sasa ni kubaya, utanyanyasika sana, be a gentleman, forget the road behind and focus on the path ahead!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Aroo!
  We BAGAH
  makerere ya nini ? Wengine bado tumerara bhanaa! Na wewe si urare!
   
 16. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Yuko maeneo ya hapa au hapo jirani mmu jaribu kuangaza macha hayuko mbali
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Shemeji , heshma yako !
  Afu nakuuliza ushemeji hauna best before ?
  Usiniulize kwanini nimekuuliza coz najua wajua!
   
 18. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Yeye anakonda mwenzake ananenepa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mie mzima shemeji

  Huu wa kwangu na BAGAH hauna best before asee!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #20
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  we wakati,is this your first love? Zoea,hao ndo wanawake wa bongo,ukiona hivo jua mwenzio kakuzidi kete.Kwa ushauri zaidi ongea na Smile.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...