KARIA
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 717
- 472
Anaitwa Yummy mara ya mwisho alivaa gauni lenye rangi mbili nyeusi na nyeupe naambatanisha picha yake, iliyopigwa muda mfupi kabla hajatoweka, picha hii ilipigwa wakati akiingia club na baada ya hapo hatujui wapi alipoelekea! yeyote mwenye taarifa tafadhali atume hapa chit chat.
dih denda na kachunbari pembeni.
Pamoja na jitihada zangu zote za kukulinda na kukupa ulichohitaji! Yummy ulinitoka kweli we chiboko!
Dah! Ngoja nisepe.... hii biashara ya kutapishana kwa mkoloni haifai hata kidogo.
dih denda na kachunbari pembeni.