Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
....leo nimekuona unakula nyasi za wizi pale Chekereni wakati natoka Dar. Bahati mbaya sikuwa na camera na kamchina kalikuwa kameishiwa charge. Otherwise ningekutoa live hapa ukumbini!

Siku ya pili usishitaki bila ushahidi, utakujalipa gharama za kesi!