JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
WABHEJASANA azichapa kavu kavu na gfsonwin TAIFA watu8 aamulia bila mafanikio mpambano ukawa droo Zinapigwa, watu8 anaamulia Ndondi watu8[/USER] alijitahidi sana...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
aaaaaaaaaaaaaaaaash! Filipo, Blaki Womani, marejesho, Lily Flower, sweetlady, Arushaone, Erickb52, Mzee wa Rula PakaJimmy na wengineo kutoka kila kona ya chitchat
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Choose your actions and words wisely this year so that you are remembered as a good human being, a great friend and a true guide when you end this year. HAPPY NEW YEAR!
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Nenda wana kwenda mwanawani lakini hii nizaidi ya kali. Ewe mwanaume, unawezaje kupokea kichapo toka kwa mwanamke uliye mlala na akakuzalia issue? Kama si laana ni nini? Nadhani hata wale wa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Hi dear; Yesterday, I was passing by your rectangular house in trigonometric lane. There I saw you with your cute circular face, conical nose and spherical eyes,standing in your triangular...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Jumuiya na ubalozi watanzania washington.. ..wanakuletea.....new year's eve bash kwa watanzania wote wa dmv na majirani....burudani kutoka kwa lokassa ya mbongo...freeee champagne toast at...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilifika Jana TNG saa 9 kasoro ivi, bahati mbaya ni mala yangu ya kwanza kufika pale, basi katika uliza uliza kuna binti mmoja ni mrembo hata beyonce hatii mguu pale, akasema eti na yeye ni Jf...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
habari wana chitchat,kiukweli naipenda hii jukwaa nasoma kila siku yani ila natamani kucomment nashindwa mana kila post nayo iona ni kwamba wanaochangia ni walewale like mnajuana na mnajua nini...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Wapendwa wana CC! Nashukuru sana kwa faraja zenu wakati wa msiba, Nimerudi salama. Shukrani zangu ziwafikie wana JF wote!
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Presha inapanda, presha inashuka, kila nikipigiwa simu ni mambo hayo ya matokeo inasemekana waliofaulu ni asilimia 15 tena wale ambao walirudia mitihani au walioexempt somo moja. Na...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
wachaga wasirudi mjini maana foleni imepungua kwa kiasi kikubwa..........kutoka gongo la mboto hadi posta unateleza kama vile usiku wa manane....
0 Reactions
0 Replies
729 Views
If she don't come into my hut, she will hurt my heart. She sales seashel in Seychelle. Never say never again. Careless whisper. Naomba nisaidiwe maana ya sentensi hizo hapo juu kwa kiswahili
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:A S-baby::A S-baby:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NINI!!! NIMESHINDA?..... AIRTEL!? Nimeshindaaaaaa, mke wangu nimeshindaaaaaa nimeshinda weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee jamani nimeshindaaaaaaa! kutoka airtel, weweeeeeeeee VYOMBO...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mwakatobe mwakasala mwakyoma mwakisu mwafilombe mwaipopo ukiona mnyaki anakajina kafupi na classic mwambie arefushe utashangaa ande kumbe ni andendekisye au andembwisye tuli ni tulinagwe...
1 Reactions
61 Replies
11K Views
Kulikuwa na mzee mmoja ambaye ilikuwa kila akipiga simu anaambiwa kuwa namba unayopiga haipatikani siku moja akaamua kwenda makao makuu na kukutana na muhudumu ikawa hivi Mzee"Samahani mjukuu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hii nimekopi na kupaste huko MMU.. "perfume sio nzuri coz yai la uzazi la mwanamke hupendelea harufu mbaya namazingira machafu ndio maana wanawake wachafu ni rahisi kwa wao kupata mimba...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wadau wa jukwaa hili naomba niwaombe radhi kwa wale waliotegemea uwepo wangu kule tanga, ila kila binadamu akipanga na mungu naye anapanga hivyo naomba mniwie radhi kwa hilo,najua kama bado tuna...
1 Reactions
7 Replies
959 Views
Mliokuwa tanga mtujuze yaliyotokea huko na nini kilichomsababisha awahi kuelekea mwaka 2013 na kuwaacha Baba V Asprin na mologo _mbabe mwaka 2012,,
1 Reactions
5 Replies
709 Views
....nisaidieni kujipanga!
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Back
Top Bottom