Vote for @Madame B, Vote Now!!!

Vote for @Madame B, Vote Now!!!

Chilli

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2011
Posts
1,655
Reaction score
746
Tumewatanguliza na baiskeli ya miti, haya sasa tunaongeza spidi.
Tumia siku hizi mbili zilizobaki kwa umakini kwa kumchagua Madame B kuwa Miss Chit-Chat 2012.
Hakikisha hufanyi kosa kwenye kuchagua, Chagua jembe la ukweli Madame B.
Chagua Madame B leo.
Chagua Madame B sasa.
 
Last edited by a moderator:
what if vote has no limit? sijui ingekuwaje kwa wagombea wengine...
 
Hapa lazima kuna uchakachuzi, manake mi na masalia wangu wote tulimpigia Madame B kura sijui nini kimetokea
 
Last edited by a moderator:
Tutaomba @Mods na Invisible wapitie tena na wasiwasi na wanaotumia proxy kujiregister
 
Back
Top Bottom