Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
Labda ulimtumia kanga ya India.
mama huko nyuma hukua hivi.umenisusa mwanao,hujui mwanao naishi vp,hujui,nimekutumia zawad ya x-mas hata huniambii kama umeipata. Mamndenyi mama yangu nimekosa nin?
ukipiga simu hapokei?
Labda ulimtumia kanga ya India.
labda mume aliyempata hataki mtoto wa,kufikia
Mamndeyi kumbe ni mama yako mbona hajaniambia kama ana mtoto mkubwa kama wewe
Pole sana Ruhazwe JR, Mama yako Mamndenyi hajambo kabisa yupo Marangu anakula xmas nilikutana naye jana marangu mtoni akielekea Mwika, huko network hakuna atakujibu atakapotoka huko