JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sina Jinsi, Tulioenda nao Tanga ndo wanajua ninachomaanisha COPY KWA: Daktari wangu PakaJimmy, mratibu Preta, Wifi marejesho, Mpenzi Arushaone, KOKUTONA, Smile, watu8, Mwanyasi, Filipo, Arabela...
3 Reactions
143 Replies
8K Views
Majamaa wa3 walikuwa wanabishana nan kati yao wa3 nan ------ zaid. Jamaa1:mimi nilikuwa ------ kuanzia chekechea jamaa2;we kwel chizi mi nimeanza tangu cijaanza kucoma...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi naomba kuuliza swali.Hivi kweli kama hujaona kanisani, barabarani, kazini, mitaaani etc unaweza kumuona umpendae huku kwenye love connect?Kwa kweli maisha yamebadilika.Tunaelekea wapi jamani!
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Napenda kuchukua nafasi hii kuwasalimu wana CHIT-CHAT hawali ya yote ningependa kusema mungu yu mwema ametuchagua kwenye kipindi kingine 2013. Mazungumzo yangu ya leo yatajikita ktk salamu na...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Salaamun ndugu zangu ma bibi na mabwana wa jukwaa hili,vijana kwa wazee walio oa/olewa Pia na ambao hawajaoa/kuolewa,wadogo kwa wakubwa. Kwa wale mnaofuatilia habari katika media mtakuwa...
4 Reactions
110 Replies
7K Views
Mamboz jaman chit chat inahusika na nini hasa???naona kuna babaà mama mkwe nkiki hik?nsije post vingine nkatolewa mbio buree au na mume tapata humu humu
0 Reactions
37 Replies
3K Views
sipati hata usingzi hapa kelele za jirani anapigwa na mkewe,ful kidume kupiga kelele. wadau nipeni kampan ucku upite.
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Professor : You are a Christian, aren’t you, son ? Student : Yes, sir. Professor: So, you believe in GOD ? Student : Absolutely, sir. Professor : Is GOD good ? Student : Sure. Professor: Is...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
mimi jf uwa napenda kusoma coment tu! ukijua huna shida ya kuja jf jokes maana kila sehemu ni jokes sasa hii nimeipata jukwaa la burudani faceboo,facebook,twitter na blogs za kibongo sijaona...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nauchukia mziki wa bongo, nachukia media nyingi za bongo. Maswali mengi yatajijenga vichwani mwenu, kujiuliza kwanini nimeamua kuandika waraka huu kwenu; Mapresenter njaa. Labda nianze na hadithi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana nilikaa mahali nikigonga menyu, baada ya kula nikasikia mwenye kibanda akimwambia mhudumu............hapo nadai chips kuku............ Niliwaza sana kwamba je anataka niwarudishie zile chips...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika maisha ya binaadamu kuna starehe nyingi sana,na watu hutofautiana katika hili,lakini kuna starehe ya watu wengi ambayo haipingiki kwa watu,kwangu mimi starehe kubwa ni mpira,ila unamkuta...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Someone sent this to me.. WE UNAJIONA UNA WIVU?? Mzee 1 alikuwa anaumwa kansa, MTOTO :baba mbona doctor Anasema una kansa ila watu wanaokuja kukuona hospital unawaambia una "Ukimwi?" Baba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hope u mzima wa Afya huko uliko! Najua wapo wengi wanaokumiss Amyner ila nahisi mi nimekumiss zaidi yao! Nimekuwa mpweke nikifarijiwa na kaka zangu Asprin Kaizer na Bishanga na wapenzi wao akina...
9 Reactions
238 Replies
12K Views
Yan nlivyo na mapesa kibao hata billgate namuona ka ---- mmoja hv xa nataka mntajie nmchukue demu celebrity wa bongo mkalii,nimchukue na uktamtaja 2,nakuchapa vocha ya 50,0000 ila halahala mcniloge
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wadau.wote.wa.chit.chat.naombeni.dua.na.sala.zenu.popote.mlipo.kesho.nasafiri.naelekea.Tanga.....Mwenyeji.wangu.yupo.mmoja.tu.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Baada ya kuvumilia sana hatimae uvumilivu umenishinda.. Nime-fall sana binti mmoja humu japo najua kuna vidume vinavyojifanya kujua kuwahi.. Niko radhi kumlipa yule ambae atakua nae huyu binti ili...
2 Reactions
75 Replies
5K Views
Chupi za Bikin bwana!!!. zamani ilikuwa unafunua chupi uone ta.ko... siku hizi mambo ya bikini, inabidi ufunue ta.ko... ili uone chupi. Mendeleo na vimbwanga vyake
3 Reactions
12 Replies
10K Views
Wadau tufanye vipi elimu ya Tanzania iwe ya mfano.
0 Reactions
4 Replies
967 Views
Nimeikuta hii wavuti.com TANGAZO! kwa wasio na VING'AMUZI majumbani mwao! Tunaonyesha vipindi vifuatavyo na gharama zake kama ifuatavyo: 1- Taarifa ya Habari Tshs 250/= 2- Tamthilia ya...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…