mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,963
- 2,479
mimi jf uwa napenda kusoma coment tu! ukijua huna shida ya kuja jf jokes maana kila sehemu ni jokes sasa hii nimeipata jukwaa la burudani
faceboo,facebook,twitter na blogs za kibongo sijaona faida wala hasara zake lakini hiyo yako sijiungi sababu naamin jf ndo kila kitu. news napata jf, burdan napata jf, mambo ya kikubwa napata jf, mademu napata jf. udaku napata jf. mia
Mkuu mademu unapata vipi JF ili nami niwe mdau?
namtafuta nilie mpenda kisha namtumia pm. uzuri hua hawana makuu lakini ukimzingua anakuja kukutangaza jf. mia
Sasa mkuu mia unajuaje huyo member ni "ME" au ni "KE"? Nisije nikaleta tafrani humu ndani...
unaangalia comment zake na mwandiko!..kwani mkuu hujui kutofautisha mwandiko wa kike na kiume? au wewe ulikua haundikiani barua na wasichana enzi zako?. miandiko ina tofauti kama hujui bora uende faceboo tu!. mia
Basi ngoja nijaribu mkuu...nikimpata na kufanikisha nitakueleza, na hivi msimu wa sikukuu umewadia...