baba junior
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 143
- 30
sipati hata usingzi hapa kelele za jirani anapigwa na mkewe,ful kidume kupiga kelele.
wadau nipeni kampan ucku upite.
wadau nipeni kampan ucku upite.
Upo wapi nije kushuhudia???
Mafunzo ya ndoa niliyopewa hayaniruhusu kumpiga mume..... Ntaanzia wapi mie mtoto wa kike?
ni fundisho kwa waliooa wake mabaunsa na wenye maneno,hapa mchiz anatafuta pa kulala.
Upo wapi nije kushuhudia???