Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Jana nilikaa mahali nikigonga menyu, baada ya kula nikasikia mwenye kibanda akimwambia mhudumu............hapo nadai chips kuku............
Niliwaza sana kwamba je anataka niwarudishie zile chips kuku ambazo nimeshakula?
Nikagundua ni common mistakes tu maana hata wa juisi naye akadakia hapo nichukulie juisi moja