Smart lady
Member
- Dec 7, 2012
- 60
- 28
Mimi naomba kuuliza swali.Hivi kweli kama hujaona kanisani, barabarani, kazini, mitaaani etc unaweza kumuona umpendae huku kwenye love connect?Kwa kweli maisha yamebadilika.Tunaelekea wapi jamani!

Vipi kuna mtu kakutongoza humu nini?Mimi naomba kuuliza swali.Hivi kweli kama hujaona kanisani, barabarani, kazini, mitaaani etc unaweza kumuona umpendae huku kwenye love connect?Kwa kweli maisha yamebadilika.Tunaelekea wapi jamani!
Kuna waliokutana humu na ndoa ikafungwa na maisha yanaendelea! We baki unashangaa tu!
Mimi naomba kuuliza swali.Hivi kweli kama hujaona kanisani, barabarani, kazini, mitaaani etc unaweza kumuona umpendae huku kwenye love connect?Kwa kweli maisha yamebadilika.Tunaelekea wapi jamani!
Kuna waliokutana humu na ndoa ikafungwa na maisha yanaendelea! We baki unashangaa tu!
and dah... Unaweza nipa namba yako Smart lady kunakitu huwa nashindwa kwambia nataka leo nijaribu.... Au ngoja ni kuPM .......... Lol
Kati ya kazi rahisi kwa mwanaume, kutongoza ni kazi rahisi kuliko zote...it's all about gettin connected ,that aint matter how.